Ana sauti iliyotulia na yenye kuvutia, kuna baadhi ya nyimbo kama;
1. Back to my love
2. When we were young
Hili nilidhibitisha live performance moja alialikwa kama balozi nadhani. It was really fantastic!
Yuko vizuri sana. Kitu kimoja cha ziada kwa Rosie anafanana na Mwanamke mmoja niliyewahi kufahamiana naye hapa JF na kuwa marafiki takribani miaka 2 na baadaye tukapotezana amenifanya ni mkumbuke.
Popote ulipo T nakukumbuka.