Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Habari za kwenu ndugu zangu wanpendwa? i am back kidogo, nilikuwa nimetingwa na majukumu to the extenty kupata nafasi ya kutumiaa vyema CC ilikuwa shughuli, bado niko nayo but usiku kama hivi leo nimepata chance ya kuwasalimia, habari ya kwenu? za siku nyingi?
NB: naomba nisiwe kama mgeni hapa, naomba mnijulishe kama kuna kanuni mpya ama jipya hapa, shikamoo kwa waheshimiwa Bishanga, Kongosho na wakongwe wooote wa CC
NB: naomba nisiwe kama mgeni hapa, naomba mnijulishe kama kuna kanuni mpya ama jipya hapa, shikamoo kwa waheshimiwa Bishanga, Kongosho na wakongwe wooote wa CC
Last edited by a moderator: