wana jf wanapa pole wote ambao hawajapata mkopo,ikiwa mi mwenyew pia ni muanga wa janga hili,lakini nawasihi kwamba wafanye dili zingine mtaani wakivuta subira ya kujaribu tena mwakani,labda bodi itatufikilia...inauma sana lakini..