helllo fellow members,

demanding

New Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Natumaini wote mmesalimika na mtikisiko wa mabomu uliojiri kwa usiku wa jana,poleni sana kwa wale ndugu zetu walioathirika na kupotelewa na jamaa zao
 
Tunashukuru sana mkuu na karibu sana hapa jamvini.....:coffee:
 
hao hapo juu kabla yangu ni Miss jukwaa la mahusiano 2010/2011 keren_happuch, actor from Nollywood Nigeria igwe na JF super model michelle. kwa niaba ya uongozi wa JF nachukua fursa hii kukukaribisha. karib sana. kinamama tunaomba vigelegele kidogo kwa ajili ya mgeni
 
Karibu sana, kama unakumbana na tatizo lolote hapa jf muone klorokwini atakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…