habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,789 Reaction score 8,753 Jun 17, 2016 #81 SAMSON MGAYA said: Watu wanakatwa mapanga hatoi tamko ila wabunge wakitolewa anatoa tamko. Click to expand... We nae?
SAMSON MGAYA said: Watu wanakatwa mapanga hatoi tamko ila wabunge wakitolewa anatoa tamko. Click to expand... We nae?
chamilo nicolous JF-Expert Member Joined Mar 10, 2016 Posts 2,112 Reaction score 1,494 Jun 17, 2016 #82 Bwana said: Wewe unataka atumie lugha ya ku please please wakati hali ni tete?????????????? Click to expand... Urais ni mamlaka kubwa, iko juu ya mamlaka zote nchi, huwezi kusema UNAITAKA, unaweza kutunzwa au kufichwa
Bwana said: Wewe unataka atumie lugha ya ku please please wakati hali ni tete?????????????? Click to expand... Urais ni mamlaka kubwa, iko juu ya mamlaka zote nchi, huwezi kusema UNAITAKA, unaweza kutunzwa au kufichwa
binjo JF-Expert Member Joined Feb 22, 2016 Posts 2,115 Reaction score 1,259 Jun 17, 2016 #83 Himawari said: @ Thatha, kwani neno "namtaka" lina kasoro gani?! Click to expand... Amri
binjo JF-Expert Member Joined Feb 22, 2016 Posts 2,115 Reaction score 1,259 Jun 17, 2016 #84 Haki za binadamu zinamtizamo wa kisiasa tu basi...nje ya hapo usikii zikitokwa na maneno.
C chuwaalbert JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 3,598 Reaction score 2,136 Jun 17, 2016 #85 Kibong'oto! Ukiwa Kenya, unaagiza utakacho Dukani ama Hotelini kwa kusema: LETA a,b,c,d.....Ukisema NAOMBA a, b ,c, d nk. Mtoa huduma anakwambia: Toka hapa! Hatutowi vitu bure. Ukitaka vya bure nenda.....
Kibong'oto! Ukiwa Kenya, unaagiza utakacho Dukani ama Hotelini kwa kusema: LETA a,b,c,d.....Ukisema NAOMBA a, b ,c, d nk. Mtoa huduma anakwambia: Toka hapa! Hatutowi vitu bure. Ukitaka vya bure nenda.....
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,194 Reaction score 15,645 Jun 17, 2016 #86 hilo ni jembeeeee namaanisha