Hellen Kijo Bisimba ni nani?

Asinge tumia neno "namtaka" ulitaka aombe nini hao uliowataja siwaliomba kulitumikia taifa kwa nyadhifa zao leo unataka waombwe nn kufanya kazi yao? Mnakazi kweli kuliosha hilo tope mlilonalo kazi kwelikweli!
Tumewazoea ninyi kila atakaye fanya kitu kisiwapendeze mnasema siyo RAIA, BASHE, SIYOI SUMARI, ULIMWENGU NK Unadhani leo tutashangaa mkisema HELLENI siyo raia ? nadhani hata yeye hana mda wa kujadili hili.
 
well said
 
Masaburi yanakuwasha wewe, manina sana
 
Lakini baada ya kuongoza wanaharakati kufunga barabara, mambo yalianza kutatuliwa, kwa hiyo kauli yake kama ilisaidia kwa kiasi fulani.
 
Sioni shida ya hili neno nawataka...ni kama kuwaimiza na kuwaonyesha kuwa tumekerwa.
 
Kwa kweli ndo mana nchi inanuka umaskini kwa kuwa imejaza watu wanaopenda kunyenyekea hata kwa kudai haki zao.Sijui kilichokufanya ushangae hilo neno zaidi hata ya wanaosemwa.
 
Hivi mwajiri akihitaji jambo lifanywe na mwajiriwa ANAMWOMBA au ANAMTAKA atekeleze jambo hilo? Rais, Spika, PM au yeyote katika utumishi wa Umma ni mwajiriwa wa nafasi hiyo na Waajiri wao ni wananchi. Hivyo sioni kama kuna kosa kwa mwajiri wao KUWATAKA watekeleze majukumu yao mara mmoja kwa kazi ambayo wao wenyewe waliomba kupewa ili waifanye.
Bisimba au yeyote kati yetu anao uhalali wa kuwataka watimize majukumu waliyoapa kuyafanya.
Hata mie namtaka mara moja aache safari zisizo na tija na akae nyumbani kushughulikia mambo ya msingi
 
....ameamua ku-take advantage ya mgomo wa madaktari nayeye apate kusikika.....mbona muda mrefu sijaisikia hii asasi ikikemea lolote japo matukio chungu tele ya uvunjaji wa haki za binaadam yanatokea kila kukicha...:juggle:

KUSIKIKA AMESHASIKIKA SANA. YEYE HAPA ANAFANYA KAZI YAKE KUTETEA HAKI ZA BINADAMU. UNAWEZA KUPITIA HAPA KWA TAARIFA NDOGO TU U.S. Ambassador presents Certificate to Tanzania?s nominee for International Women of Courage (November 7, 2007) | Embassy of the United States Dar Es Salaam, Tanzania

na ana nyingine nyingi tu kwa kazi yake nzuri.....
 
Atakuwa ni swahiba wake na Ananilea Nkya, maana mama Nkya ni Chadema kasoro magwanda!

Mimi nashangaa hawa wanaojiita asasi za kiraia halafu wanaunga mkono mgomo ambao wanajua wananchi watakufa.
 
ni mtu gani anayepaswa kutumia neno NAMTAKA? ukijibu ntaendelea ..........
Kila mtanzania anaweza kuitaka serikali iwafanyie wananchi wake haki zao. Au hujui kuwa maboss wa JK ni WANANCHI?
Enzi za heshima za kinafiki zishapita!
 
yule mama ni msomi na mwanaharakati anayejua nini anakifanya.hata Lema mb wa Arusha naikumbuka kauli yake wakati wa kudai kaiba mpya,baada ya kuomba ikashindikana alisema sasa siyo kwamba tunaomba bali tunataka katiba mpya.siyo kila kitu naomba naomba umekuwa omba omba katika hakizako za msingi?
 
Wewe Thatha mleta thread hii bado unaishi na kufikiri kama mtu wa enzi za TANU. leo hii watu wanajua haki zao.Leo hii watu wana haki ya kusema ukweli dhidi ya serikali yao.

My take: Kasome sheria
 
Moja ya wanaharakati-wazalendo wachache waliobaki wenye uchungu na nchi yao.
 
Simple. Mama Helen Kijo Bisimba yuko sahihi kutoa matamko yake. Hauwezi kutoa tamko kwa kesi ya kipepelezi inayohusisha polisi na Mahakama, hapo utakuwa unaingilia na kuharibu upelelezi na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…