Slim Senior Member Joined Nov 12, 2008 Posts 172 Reaction score 233 May 2, 2011 #1 Habari ya leo wakuu! Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
Habari ya leo wakuu! Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,325 Reaction score 1,615 May 2, 2011 #2 ni kweli toka ujiunge jf toka 2008 ndo leo unatuma posts? kama ni kweli unatisha.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 May 2, 2011 #3 halafu post yenyewe ni ya kukodisha helcopta, kwnza uko wapi? harare ,washington or dsm?
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 May 2, 2011 #4 Slim said: Habari ya leo wakuu! Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha. Click to expand... :hurt:
Slim said: Habari ya leo wakuu! Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha. Click to expand... :hurt:
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,877 Reaction score 13,866 May 2, 2011 #5 Ivuga said: halafu post yenyewe ni ya kukodisha helcopta, kwnza uko wapi? harare ,washington or dsm? Click to expand... Msaidieni jamani labda kabanwa anataka kuwahi Samunge kwa babu.
Ivuga said: halafu post yenyewe ni ya kukodisha helcopta, kwnza uko wapi? harare ,washington or dsm? Click to expand... Msaidieni jamani labda kabanwa anataka kuwahi Samunge kwa babu.
T Thegreat Member Joined May 3, 2010 Posts 42 Reaction score 9 May 2, 2011 #6 Kwenye magazeti hasa Mwananchi kwa muda sasa kuna matangazo ya helikopta ya kukodi kwenda kwa babu, nadhani wanaweza kwenda mahali pengine zaidi ya kwa babu. Sina contact zao lakini kwenye tangazo lao kuna namba za simu.
Kwenye magazeti hasa Mwananchi kwa muda sasa kuna matangazo ya helikopta ya kukodi kwenda kwa babu, nadhani wanaweza kwenda mahali pengine zaidi ya kwa babu. Sina contact zao lakini kwenye tangazo lao kuna namba za simu.