Helicopter enzi za Wamisri wa Kale????

Helicopter enzi za Wamisri wa Kale????

Kipindi hicho Injini ambayo ndio mashine inayo zalisha nishati hazikuwepo kwa maana hiyo ndege isingeweza kuruka angani.
Ok mkuu nmekusoma ila kwanni unaamini haikuwa imevumbuliwa??? Kwanni usiamini kwamba huenda hyo teknolojia ilikuwepo ila baadae ikatoweka au haikuendelezwa n.k??
 
Inawezekana iliundwa, kitu ninachojiuliza ni je, iliwezaje kuruka angani
? Ikiwa hakukua na teknolojia ya injini? Pia ilitumia nishati ipi kufanya kazi?
 
Kuna mambo mengi tumefichwa ama tumedanganywa na historia tulio nayo sasa uwezekano wa kuwepo teknolojia ya hali ya juu upo tena mkubwa sana tazama jinsi piramid zilivyo jengwa mpaka sasa teknolojia yetu imeshindwa kujenga piramid kama hizo,kilichopo sasa katika teknolojia yetu ni uigaji wa teknolojia ya zamani na kuaminishwa eti jamaa wamevumbua .
 
bora hao wanaoiga... sisi hata kuiga tumeshindwa!!
 
Back
Top Bottom