Helen Kijo Bisimba na Timu yako mko wapi kuongelea mauaji ya askari?

Kuweka kwenye mitandao ni sehemu tu ya usambazaji wa report na matamko. Report zote zinasambazwa kwa wadau wote kwa njia nyingine mbalimbali. Zinatolewa bure jwa yeyote anayehitaji. Matamko yote, ambayo ni kwa vyombo vya habari yanatolewa mbele ya vyombo vya habari. Kama umeangalia na kusikiliza taarifa za habari leo naamini utakuwa umeona kuwa Kituo kimetoa tamko kukemea mauaji yaliyofanywa dhidi ya polisi. Kituo kina vipindi vya TV na Radio. ITV Kipimajoto kila mwisho wa mwezi, na Channel 10 Kipindi cha Pambanu kila Alhamisi. Vyote hivi vina lengo la kuelimisha umma kwa ujumla, Serikali na wananchi juu ya kuzingatia misingi ya haki za binadamu. Hii ni mbali na vipindi vingine vingi vya redio ambapo Kituo kinaalikwa kuelezea kuhusu masuala ya haki za binadamu, bila kubagua ni binadamu gani haswa anayetajwa. Kama una nafasi fika ofisi zao Makao Makuu Kijitonyama, Kituo cha Msaada wa Sheria Kinondoni na Ofisi Ndogo Arusha kujua hasa kazi za Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Inachekesha kudhihaki umuhimu wa mtandao wakati na anayedhihaki anafanya hivyo akiwa mtandaoni.
Mjomba Misifa..
Hii kitu ungeweza kuifupisha na ikaleta maana zaidi. Ila kwa kuwa umeamua kuifanya blogu nimeshindwa kusoma.
 
Hellen na wenzie ni watu wa ukanda ule, hilo genge lao lishageuka la eneo fulani
Hiyo silaha ya ukanda, ukabila na udini mmeitumia miaka mingi sana lakini bado haikuwalipa vya kutosha, endeleeni na hiyo laana ambayo sasa imeanza kuwageukia!
 
Mjomba Misifa..
Hii kitu ungeweza kuifupisha na ikaleta maana zaidi. Ila kwa kuwa umeamua kuifanya blogu nimeshindwa kusoma.
Hili la uvivu wa kusoma kwa watz mbona linajulikana, kama andiko hilo fupi unaliona refu ni mno basi ni shidaa!
 
Hili la uvivu wa kusoma kwa watz mbona linajulikana, kama andiko hilo fupi unaliona refu ni mno basi ni shidaa!
Andiko fupi kwa nani? Acha kuwa na akili kama za mzee Akilimali ndugu. Wewe mtu mzima ujue.....japo huvai pampwidooo.
 
Mjomba Misifa..
Hii kitu ungeweza kuifupisha na ikaleta maana zaidi. Ila kwa kuwa umeamua kuifanya blogu nimeshindwa kusoma.
Hujataka kusoma, hilo sio tatizo langu. Naitwa Sifa na sio hilo jina unalotaka kuniita. Jina langu liko fupi sana, sijui kwa nini unataka kulirefusha.
 
Hujataka kusoma, hilo sio tatizo langu. Naitwa Sifa na sio hilo jina unalotaka kuniita. Jina langu liko fupi sana, sijui kwa nini unataka kulirefusha.
Mjomba Misifa.
Nimekuita Misifa kwa sababu nimekuongezea sifa zaidi. Habari za huko Vikindu,mwatunyima nini ????
 
Back
Top Bottom