Helen Kijo Bisimba na Timu yako mko wapi kuongelea mauaji ya askari?

Jana askari wanne wameuwawa na majambazi dar, wakati wakikabidhiana lindo.
Nyinyi kama watetezi wa haki za binadamu mbona mko kimya?

Hakuna tamko la kulaani mauaji hayo.
Lakini cha kushangaza Chadema wangeguswa na hili ningewaona povu linawatoka na matamko mbali mbali ya kulaani.

Iko haja ya nyinyi Kua kuachia nafasi zenu kwa Kua bias.

Hili linatokana Nanyi kuacha taaluma yenu na kujiingiza kwenye siasa.
Achieni ngazi imetosha.
Kunyamaza kwake kunaongea sana
 
IMG-20160825-WA0009.jpg
 
Huyu bibi ni mzandiki sana mkuu. Achilia mbali mauaji ya polisi......kuna mauaji ya vikongwe...ubakaji wa watoto wadogo. Sijawahi kumsikia hata siku moja akitoa tamko kuhusu hayo mambo katika jamii yetu. Angejiunga na chama cha siasa tu ieleweke moja.
Ingia hapa www.humanrights.or.tz halafu ingia kwenye Reports. Kuna report na matamko yote yanayotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu jueleza hali ya haki za binadamu nchini katika vipindi husika.
 
Jana askari wanne wameuwawa na majambazi dar, wakati wakikabidhiana lindo.
Nyinyi kama watetezi wa haki za binadamu mbona mko kimya?

Hakuna tamko la kulaani mauaji hayo.
Lakini cha kushangaza Chadema wangeguswa na hili ningewaona povu linawatoka na matamko mbali mbali ya kulaani.

Iko haja ya nyinyi Kua kuachia nafasi zenu kwa Kua bias.

Hili linatokana Nanyi kuacha taaluma yenu na kujiingiza kwenye siasa.
Achieni ngazi imetosha.
Wapo bize wanaandaa nondo za kuisulubu sdrikali baada ya sept 01
 
Ingia hapa www.humanrights.or.tz halafu ingia kwenye Reports. Kuna report na matamko yote yanayotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu jueleza hali ya haki za binadamu nchini katika vipindi husika.
Mjomba Misifa,
Naomba unisikilize kwa umakini ili uweze kunielewa. Hizo report na matamko wakiweka kwenye huo mtandao ni watanzania wangapi wana access na Internet achilia mbali uelewa wa kuperuzi mitandao!!!!????? Msipende kutetea upupu kwa kutumia hoja dhaifu.
 
Mtetezi wa haki za binadamu aje kufanya nn kwa hili.. Ebu fumba macho, kwa hisia, ukitamka hilo neno ukitafuta maana ya neno "Mtetezi wa haki za binadamu".. Rudia mara tatu,. Labda mwalimu wako hukumuelewa darasani. Hapa Kijo aje kumtetea nani aliyekosa haki za msingi ktk nchi yake, ni askari polisi au wale wananchi wanaoendelea kuuwawa kule kagera kwa kukosa ulinzi nchini mwao na serikali imeshindwa kulipa uzito jambo hili.?
Kulaani tukio, mnduku wewe
 
Mjomba Misifa,
Naomba unisikilize kwa umakini ili uweze kunielewa. Hizo report na matamko wakiweka kwenye huo mtandao ni watanzania wangapi wana access na Internet achilia mbali uelewa wa kuperuzi mitandao!!!!????? Msipende kutetea upupu kwa kutumia hoja dhaifu.
Kuweka kwenye mitandao ni sehemu tu ya usambazaji wa report na matamko. Report zote zinasambazwa kwa wadau wote kwa njia nyingine mbalimbali. Zinatolewa bure jwa yeyote anayehitaji. Matamko yote, ambayo ni kwa vyombo vya habari yanatolewa mbele ya vyombo vya habari. Kama umeangalia na kusikiliza taarifa za habari leo naamini utakuwa umeona kuwa Kituo kimetoa tamko kukemea mauaji yaliyofanywa dhidi ya polisi. Kituo kina vipindi vya TV na Radio. ITV Kipimajoto kila mwisho wa mwezi, na Channel 10 Kipindi cha Pambanu kila Alhamisi. Vyote hivi vina lengo la kuelimisha umma kwa ujumla, Serikali na wananchi juu ya kuzingatia misingi ya haki za binadamu. Hii ni mbali na vipindi vingine vingi vya redio ambapo Kituo kinaalikwa kuelezea kuhusu masuala ya haki za binadamu, bila kubagua ni binadamu gani haswa anayetajwa. Kama una nafasi fika ofisi zao Makao Makuu Kijitonyama, Kituo cha Msaada wa Sheria Kinondoni na Ofisi Ndogo Arusha kujua hasa kazi za Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Inachekesha kudhihaki umuhimu wa mtandao wakati na anayedhihaki anafanya hivyo akiwa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom