Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Hapo ndo CCM watajua umuhimu wa Rostam kwenye kampeni zao.
Kumbe, yetu macho bwanaBahati yenu CDM Ismail Aden Rage hakuwepo mkutanoni, vinginevyo angeitungua hiyo Helicopter na bastola yake. CCM hatutavumilia huu uchokozi wa CDM kutuvurugia mikutano yetu na chopper yao. Leo tumewagiza Rage na Adam Malima waje Arumeru. Jaribuni tena muone kilichomtoa kanga manyoa, hiyo chopper itakwenda chini na ka-Nassari kenu!