Helcopter ya CDM yachafua hali ya hewa Mkutano wa CCM Ngaresero Arumeru

Mwigulu na Lusinde povu limewatoka kwa hasira. Imewauma sana, kuwabeba watu kwenye mafuso na kuwahutubia kwa masaa just to realize wote ni Chadema. Wameshindwa kuendelea na mkutano ikabidi waukatize.
 
Ukweli ni kwamba iyo helikopta iliondoka hapa moivaro saa 17.20 GMT Ikiwa na nasari na mbowe kuelekea maji ya chai.mi nliachwa hapo shule ya msingi shangarai nkiwa na wenzangu elfu na mia nane hivi
 
siku za mwizi arobaini na kukamatwa kwa nyani miti yote huteleza magmba wamekwama kinachofanyika ni jeuri ya madaraka.lakini hakuna hali ya kudumu daima ndiyo maana zile fikra sahihi za m/kiti wa CCM zilizikwa kama itavyozikwa CCm kipindi hiki cha kuelekea 2015
 
Mkutano wa kampeni wa ccm jana katika kitongoji cha ngaresero ambako kulikuwa na mkutano wa kumnadi Sio Sumari ambaye ndio mgombea wa ccm kulitokea tafrani kubwa hakuna mtu aliye jua kuwa Helikopta ya chadema kama itapita karibu ya mkutano huo chakusangaza wakati TOT plus wakitoa burudani Helikopta ilipita karibu na mkutano na watu karibuni robo tatu wakanyanyua vidole viwili juu wakisema pipooo powa na polisi wakanza kuwakama vijana na kuwapeleka sero.Na inasemekana wengi kwenye mkutano huo walikuwa wanachadema na watoto.Pia kituko kingine kilichoshangaza watuwengi viongozi wa ccm walitoa matusi mengi mpaka watoto wakiwasimulia wazazi wao majumbani hiyo inafundishi jamii tabia mbaya.
 
Iku moja niliangalia picha za mkutano wa ccm, niliona vija wengi wakinyosha vidole viwili.....
 
Mkutano wa kampeni wa ccm jana katika kitongoji cha ngaresero ambako kulikuwa na mkutano wa kumnadi Sio Sumari ambaye ndio mgombea wa ccm kulitokea tafrani kubwa hakuna mtu aliye jua kuwa Helikopta ya chadema kama itapita karibu ya mkutano huo chakusangaza wakati TOT plus wakitoa burudani Helikopta ilipita karibu na mkutano na watu karibuni robo tatu wakanyanyua vidole viwili juu wakisema pipooo powa na polisi wakanza kuwakama vijana na kuwapeleka sero.Na inasemekana wengi kwenye mkutano huo walikuwa wanachadema na watoto.Pia kituko kingine kilichoshangaza watuwengi viongozi wa ccm walitoa matusi mengi mpaka watoto wakiwasimulia wazazi wao majumbani hiyo inafundishi jamii tabia mbaya.
Kuna watu kama Lusinde wamepelekwa huko kwa kazi hiyo ya matusi.
 
Ni dalili ya kuelemewa na mambo hapo Arumeru, najua saizi wanasubiri miujiza ya tume ya uchaguzi kama vile mgonjwa aliyelogwa anavyosubiri muujiza toka kwa muombeaji.
 
Bahati yenu CDM Ismail Aden Rage hakuwepo mkutanoni, vinginevyo angeitungua hiyo Helicopter na bastola yake. CCM hatutavumilia huu uchokozi wa CDM kutuvurugia mikutano yetu na chopper yao. Leo tumewagiza Rage na Adam Malima waje Arumeru. Jaribuni tena muone kilichomtoa kanga manyoa, hiyo chopper itakwenda chini na ka-Nassari kenu!
 
CDM mna bahati CCM wamechacha zingekuja helcopter 2 apo
Mkuu, CCM ni mafia,
wnajua wapi pa kuwekeza, Arumeru wameona sio kivileee!!!

lakini kumbuka sasa hivi wanajipanga kujiweka wazi katika biashara zao!!
Wanaanza na VodaCom, then kampuni mpya ya simu anayoianzisha Manji...........

Never underestimate the power of CCM!!
Watakapo-engineer kuondolewa kwa ruzuku kwa vyama vya siasa wakati wao wanamiliki makampuni ya simu na majengo makubwa hapa mjini ndo tutaelewa hawa jamaa ni mafia!!
 
Malaria sugu hajapona? kama bado aje kwetu yaeda tumpe dawa ili apate kuwakimbia magamba wenzie
 
Pia chakushangaza mchungaji aliyeomba katika mkutano huo alianza kwa kusema na muombea Joshua nassari alafu akasita ohooo Sioi watu walicheka sanaaaaaaaaaaaaaaaa tu
 
Kwani naye Komba yuko huko sasa atakuwa anaimba huku kasinzia au mbele yake wanawekwa warembo ili angalau aweze kupepesa macho
sa hv atakuwa anaimba huku analia akikumbukia alivyokuwa anafanya mazoezi ya kumwimbia mwl. nyerere mwezi mzima kabla ya kifo chake.
 
Ni 17.20 local time mkuu, hiyo uliyosema hapo, huku kwetu ingekuwa saa 2.20 usiku. Thanks anyway for your update
 
Pia chakushangaza mchungaji aliyeomba katika mkutano huo alianza kwa kusema na muombea Joshua nassari alafu akasita ohooo Sioi watu walicheka sanaaaaaaaaaaaaaaaa tu

Mkuu hii ni kweli au??? Nimejikuta nacheka gafla. kweli mbombo ngafu.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom