cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Kwanza kunaweza tokea currency attack ambayo ni hatari yani ndani ya 5 hrs tuu nchi IPO chali Hamna kitu kwenye national treasureSky Eclat naomba nielimishe kwani mpaka anailaumu america kwani kuna nchi inaamua nchi fulani pesa yake ipande au ishuke.
Uturuki ipo EU? Kuwa NATO hakumaanishi kuwa ni EU.Acha mahaba mkuu ukaifananishe nchi iliyopo EU na Libya, uchambuzi wako umekaa kiyahudi yahudi tu, kufurahi wenzio wakiumizwa, mbona hamsemi watu wanavyoumia na kufa middle East kwa ubabe na jeuri ya Marekani, mnayaona ya Edorgan tu ya Marekani hamyaoni....Marekani tatizo lake kubwa maslahi full stop....
huo ni mtazamo wako jipe picha wewe ni mturuki na mnauza SGR Tanzania, nadhani wewe ndiyo mbumbumbuKama foreign currency ime depreciate... When you have payable you will pay less or if you have receivable you will receive less in your local currency... Kama hujui kitu kaa kimya...
Kule tulikotembeza bakuli hela yao imeshuka thamani na rais ananlaumu rais wa Marekani Donald Trump kwa hili
Jamaa ana jeuri sana, siku moja ametambelea marekani na waturuki wasiompenda waishio US wakaandamana. akaamrisha walinzi wake wawapige hao waandamanaji...Waturuki ni sawa na Wanaigeria huko Ulaya na Asia... full utaperi... wakifuatiwa na baba lao Iran....
Edogan Ni Mpumbavu sana yaani kama Bblia iliandika kuwa Wagalatia(ambao ndio asili Waturuki) ni wapumbavu ilipatia haswa na huyu Peridaa wao ni typical Garatia... Jitu la Visasi visivyo na akili.. Yaani kama ingekuwa Tanzania Watu elfu kumi wakiandamana basi unakamata wote unawafunga jela... badala ya kudeal na viongozi wahamasishaji pekee... anatesa sana raia wake mpenda sifa huyo... Yaani alikuja Tanzania akashurutisha Shule za Feza zifungwe zote Tanzania kisa mwenye Shule ni Mpinzani wake Hongera Tanzania kwa kumpuuza.. Ugombane nae wewe kisha umgombanishe na wengine... good sana kumpuuza... Marekani alimuambia wewe Garatia lete ushahidi mwishowe akakosa lakini bado anang'ang'ania Fetullah arejeshwe Uturuki amkamue... hasira zake akamkamata pastor wa Kimarekani masikini zake akamtia lupango sasa Marekani kamuambia amuache huru au akichezee kichapo ambacho hata raia wa Uturuki watamchoka juzi kajiapisha eti yeye hana Dollar ila ana Allah... Mie nimekaa Pembeni natizama Game tuliona Majeuri kina Gadafi mwishowe walikichezea cha aibu... ewe Garatia kwanini mu wapumbavu...
Chanzo ni hiki hapa..Kule tulikotembeza bakuli hela yao imeshuka thamani na rais ananlaumu rais wa Marekani Donald Trump kwa hili
Wenzetu wanathamini raia wao sanaAnd we now see the consequences
Sio suala la mtazamo hz ni principles za finance...jaribu hata ku Google forex exchange risks and it's effects in international trade...maana nikikuambia ukasome kitabu gan hutoweza...ficha umbumbumbu wako.huo ni mtazamo wako jipe picha wewe ni mturuki na mnauza SGR Tanzania, nadhani wewe ndiyo mbumbumbu
Unajua lolote kuhusu hedging ya forex risks?? Appreciation and depreciation ya foreign currency against your local currency?? Unajua kuhusu types za forex risks??huo ni mtazamo wako jipe picha wewe ni mturuki na mnauza SGR Tanzania, nadhani wewe ndiyo mbumbumbu
Uko sahihi sana mkuu na kitu nilichokisoma kwa sasa ni kwamba wengi wanamuona Trump kama mwehu lakin nakwambia huyu jamaa yeye hazungumzi na mtu....vitendo vyake tuu utanyoosha mikono..tumeanza shuhudia zimbabwe za majuu sasaWaturuki ni sawa na Wanaigeria huko Ulaya na Asia... full utaperi... wakifuatiwa na baba lao Iran....
Edogan Ni Mpumbavu sana yaani kama Bblia iliandika kuwa Wagalatia(ambao ndio asili Waturuki) ni wapumbavu ilipatia haswa na huyu Peridaa wao ni typical Garatia... Jitu la Visasi visivyo na akili.. Yaani kama ingekuwa Tanzania Watu elfu kumi wakiandamana basi unakamata wote unawafunga jela... badala ya kudeal na viongozi wahamasishaji pekee... anatesa sana raia wake mpenda sifa huyo... Yaani alikuja Tanzania akashurutisha Shule za Feza zifungwe zote Tanzania kisa mwenye Shule ni Mpinzani wake Hongera Tanzania kwa kumpuuza.. Ugombane nae wewe kisha umgombanishe na wengine... good sana kumpuuza... Marekani alimuambia wewe Garatia lete ushahidi mwishowe akakosa lakini bado anang'ang'ania Fetullah arejeshwe Uturuki amkamue... hasira zake akamkamata pastor wa Kimarekani masikini zake akamtia lupango sasa Marekani kamuambia amuache huru au akichezee kichapo ambacho hata raia wa Uturuki watamchoka juzi kajiapisha eti yeye hana Dollar ila ana Allah... Mie nimekaa Pembeni natizama Game tuliona Majeuri kina Gadafi mwishowe walikichezea cha aibu... ewe Garatia kwanini mu wapumbavu...
Uko sahihi sana mkuu na kitu nilichokisoma kwa sasa ni kwamba wengi wanamuona Trump kama mwehu lakin nakwambia huyu jamaa yeye hazungumzi na mtu....vitendo vyake tuu utanyoosha mikono..tumeanza shuhudia zimbabwe za majuu sasa
Mimi ni mchumi wa UDSM usijaribu kupoteza mada kwa umbumbumbu wakoUnajua lolote kuhusu hedging ya forex risks?? Appreciation and depreciation ya foreign currency against your local currency?? Unajua kuhusu types za forex risks??
Humu tuna id fake... Sasa kila mtu akitoa vyeo vyake itakuwaje... Mm ni mtoto wa mjin tuu...haya mchumi usiyejua effects za depreciation za foreign currency against local currency when it comes to foreign payables... Nyinyi ndio mnadhalilisha wasomi...shame on youMimi ni mchumi wa UDSM usijaribu kupoteza mada kwa umbumbumbu wako
Lete mada ya marekani kuua middle east tuchangie kwa kulaani mauji hayoAcha mahaba mkuu ukaifananishe nchi iliyopo EU na Libya, uchambuzi wako umekaa kiyahudi yahudi tu, kufurahi wenzio wakiumizwa, mbona hamsemi watu wanavyoumia na kufa middle East kwa ubabe na jeuri ya Marekani, mnayaona ya Edorgan tu ya Marekani hamyaoni....Marekani tatizo lake kubwa maslahi full stop....
Masikini ya Mungu Jiwe kila tawi ashikalo kujipatia cheap popularity linakatika.Kule tulikotembeza bakuli hela yao imeshuka thamani na rais ananlaumu rais wa Marekani Donald Trump kwa hili
Sio uturuki tuuu, dunia nzima soko kuuu LA bidhaaa zote lipo USA. Ndio kuna population ya watu 327 Million wenye uwezo Mkubwa wa kununua bidhaaa kuliko watu wote duniani, na ndio wanaonunua malighafi na kuifanya kuwa bidhaaa kamili. Kwa iyo ili Pesa yako iwe na thamani, lazima ufanye bihashara na USAKumbe uturuki alikuwa anapata fedha za kigeni kupitia america
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nimeingia tangu j2 saa 6 imetembea pips almost 2000, lot ya 0.01 inakupa pesa ya kula mwezi mzimaUSDTRY. SISI WAZEE WA KATI TUBAIPIGA PESA SANA
USIULIZE WAZEE WA KATI WAPI
Bihashara imefanywa na waturuki lakini kwa dollars na sio Pesa yaoUnajua lolote kuhusu hedging ya forex risks?? Appreciation and depreciation ya foreign currency against your local currency?? Unajua kuhusu types za forex risks??