itakuwa na picha ya padri amembeba junior mgongoni huku anaosha vyombo
Mpaka 2016 tutabakiwa na Tembo wangapi?
Mpaka 2016 tutabakiwa na Tembo wangapi?
Mpaka 2016 tutabakiwa na Tembo wangapi?
kweli mkuuAliyeweka noti ya thamani Tshs 500 yenye picha ya Mh.Lowassa Ukweli anajua sana analolifanya ni kwa makusudi wala sio wendawazimu ni njia mpya ya Kumtangaza Eddo na kuiyeyusha mioyo ya Makada wengine wa CCM wanaoutaka Urais 2015.
Inavyosemekana jamaa huyu anavyopenda hela umemuweza kwa kumuweka kwenye hiyo noti ya mia tano.