Akili hizi za vijana wa sasa ndio zinaibua mijadala ya usawa kwenye jamii......
Ndio maana wanawake wengi hawaoni umuhimu au ufahari wa kuolewa.......fahari kubwa ya mwanamke kuolewa na mwanaume ni kutunzwa.......
Mwanamke anaweza akawa na 10,00/= lakini 1,000/= anayopewa na mwanaume ina maana kubwa sana...imebeba ujumbe mzito sana juu ya uanaume wa mume wake.........
Ndio maana unaweza kukuta mwanamke ambaye ni meneja wa kitengo kikubwa mwenye mshahara mnono akitembea na kijana anayetunza bustani ambaye anajua maana na nafasi ya mwanaume mbele ya mwanamke.......