Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 928
- 1,908
Jaribu kuwa mganga wa kienyeji utakula pesa zao kwelikweli.Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,
Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.
Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.
Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Duhhh mnatufilisiTupo wanaume tunapokea kutoka kwao
Inamaana wanachuma na wanatengeneza kwao kupitia jasho la mwanaumeWanatumia na wazazi wao,ndugu zao na kujenga makwao!!huo ndio ukweli wa wazi!!!
Duhh kwahiyo waganga ndio wanakula pesa yao Dahh ngoja nikawe mganga tuJaribu kuwa mganga wa kienyeji utakula pesa zao kwelikweli.
Hata sisi tunao wakunja vizuri huwa tunahonga piaHuliwa na anayemkunja vizuri
Na wao huwa wanafanya hivyo hivyo; kwa wanaume ili waweze kula hela za wake zao inabidi wafanye kazi ya ziadaHata sisi tunao wakunja vizuri huwa tunahonga pia
Wengi uinuliwa na wanaume zaoKwani ulimsomesha wewe mkuu? Acha wazazi wake wafaidi jasho walilo litoa kumsomesha mtoto wao
Wauza fashion, mafundi nguo, masonara, wauza mikoba, wasusi, wauza mikufu na wauza vipodozi, ndio walaji wakubwa wa hela ya mwanamke.Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,
Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.
Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.
Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa mkubwa utajua kuwa pesa ya mwanamke ni ya moto kama zile za TAKUKURU hutakiwi kuiongelea wala kuijadili popote pale.