Hela tunazotoa wanaume for no reason, kumpanga mtu

Utamu tunaoupata hata hiyo pesa sio kitu, mtu unamwaga vitu unapiga kelele kama mwendawazimu hapo imefinyiwa ndani, kama utelezi hata sabuni ina utelezi

Mkumbushe ndugu yako aisee...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Labda pia hajawahi kuchanganyikiwa na utamu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Wanaume tafuten hela tu hakuna namna
 
Asante mkuu umejua kunifurahisha.

Wanakalamika huku JF lkni mtaani wanatupatia hiyo mijihela..๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ila hata hivo mnazidishaga asee, yan shda zote mnajiachiaga tu km hatujazaliwa na wanawake wenzenu.. Khaaa!
 
Mkumbushe ndugu yako aisee...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Labda pia hajawahi kuchanganyikiwa na utamu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Wanaume tafuten hela tu hakuna namna

Wacha tuzike tuu hela zetu kwenye papuchi zenu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wakuu unajua sisi wanaume tunakumbana na majaribu mengi sana maishan kwenye engo hii ya mapenzi

Ujue kuna hela ambazo unaweza mpa mkeo kama mkeo ama demu wako kama demu wako halafu kuna hela unatoa kumpanga mtu yaani kwa lugha nyingne una mseti aingie king. Hapo hujamtongoza wala ninii na hiyo sio kuhonga mind you

Zinakuaga za vocha za kusuka za chips baga etc..hizi ni kama unabet

Sasa nimejaribu kufanya tathmini ni kiasi ngai huwa natupa huko daah nimeona naweza fanyia kitu kikubwa tuu cha faida au ni bora umtumie mama yako nyumban ale ice cream au kuku kwa mrija

Uzi tayarI

(Well.zingatia. Hadi uzi unaandikwa nimetoka kurusha elfu 30 saa hii for no reason. For new chick/project in progress) Mwanafunz wa IFM
Imeisha hiyoo, hapo bado mara 2 ya mwisho ukimtoa out hamna kurudi
 
Wakuu unajua sisi wanaume tunakumbana na majaribu mengi sana maishan kwenye engo hii ya mapenzi

Ujue kuna hela ambazo unaweza mpa mkeo kama mkeo ama demu wako kama demu wako halafu kuna hela unatoa kumpanga mtu yaani kwa lugha nyingne una mseti aingie king. Hapo hujamtongoza wala nini na hiyo sio kuhonga mind you

Zinakuaga za vocha za kusuka za chips baga etc..hizi ni kama unabet

Sasa nimejaribu kufanya tathmini ni kiasi ngai huwa natupa huko daah nimeona naweza fanyia kitu kikubwa tuu cha faida au ni bora umtumie mama yako nyumban ale ice cream au kuku kwa mrija

Uzi tayarI

(Well.zingatia. Hadi uzi unaandikwa nimetoka kurusha elfu 30 saa hii for no reason. For new chick/project in progress) Mwanafunz wa IFM
Polee mkuu najua utakuwa umewaza sana , wakat ww mwnyw unajibania hapo, alaf jitu from no where lizur na linatako linakuomba hela
 
Back
Top Bottom