Hela tunazotoa wanaume for no reason, kumpanga mtu

Nimetoka kukutana na manzi lodge..nimemtumia muamala ambao nilijua ntaurudisha. Kumbe ile mtandao mmoja kwenda mwingine ni process ndefu kimtindo, mpaka watumiane email! Mpaka hivi nnavyoongea Airtel wamesema niwape muda wawasiliane na wenzao wa Tigo watanijulisha, ila huyu manzi keshatoa pesa na amenitumia msj kushukuru.
Shs ngap boss???
 
Back
Top Bottom