Hela tunazotoa wanaume for no reason, kumpanga mtu

Hela tunazotoa wanaume for no reason, kumpanga mtu

Mr gubu umerudi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si uache, kwani unashikiwa fimbo?
 
Sometimes unakuwa huwez kuwaelewa hawa manz kuna mmoja hapa kila nikimwomba kipoch manyoya anachomoa mwaka sasa lakin haishi kunipiga mizinga mara ya kusuka, salun mara nimlipie kodi uzur sijawahi kumpa hata mia zaid tu ya kumtoa outing na anapenda sehem za garama sana..
 
Jaya nap hawana kitu maana unampa hela anaeenda kuweka mikucha bandia anaerudi anataka umuone jinsi alivyobandika mikucha unampa unampa hela anaeenda kununua wig anakuja umuone ana Wigi kuliko la mkeo unamla unampa hela anaeenda ananunua kingua ambaco mtaani kwao anakivalia kanga akikaribia eneo la tulip anatoa kanga Ione yaani Lila MTU ana ujinga wake
 
K kama K sasa kama nina ma laizer ya kutosha shida iko wap mzee baba..ule utamu sio wa nchi hii blaza
 
Nimetoka kukutana na manzi lodge..nimemtumia muamala ambao nilijua ntaurudisha. Kumbe ile mtandao mmoja kwenda mwingine ni process ndefu kimtindo, mpaka watumiane email! Mpaka hivi nnavyoongea Airtel wamesema niwape muda wawasiliane na wenzao wa Tigo watanijulisha, ila huyu manzi keshatoa pesa na amenitumia msj kushukuru.
 
Back
Top Bottom