Heko Magufuli Mpango ulioko jikoni umenifurahisha na umejirekebisha kwa 90% long live JF, awazo yote yamechotwa hapa

mkuu sioti ni kweli we utaona

brit
Ameshaharibu historia yake hayo yanapangwa kwaajili ya uchaguzi tunajua

Ila yeye historia itamwandika Kama rais mbaya kuwahi kutokea ktk historia ya taifa letu vidonda alivyovissbabisha itachukua karne kupona
 
Wewe jamaa,mbina kule simiyu pameshapitishwa mchango wa sh.32,000/= kila pazia? Na wajasiliamali wote wameamuliwa kulipia vitambulisho sh.20,000/= na bila kitambulisho hufanyi shughuli zako hata uwe muuza mchicha,tembele,nyanyachungu,nyanya,vitunguu,mahindi,.......hii ni January tu mwaka huu huu 2019.Huoni kama umepotea ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye video ya Mbunge Bwege wa Kilwa tafadhali aiweke hapa, yaani ccm watawamiiiinya watz halafu karibu na uchaguzi wataachia, ujanja huu tumekujueni mapema
 
Heri ya Mwaka Mpya kwenu wana jamii forums wote,
Kuna habari Nyeti ambazo zimetoka sehem nyeti na unyeti wake,
Mkulu katika kipindi hiki cha mwaka 2019 kitakuwa kizuri kwa watanzania na wasio watanzania lakini waishio Nchini Tanzania,

Mwaka 2016-2018 umekuwa miaka ya kuangalia mwenendo wako wa uongozi,
nimefurahishwa sana na ulivyobadili gia na kuanza mwelekeo mwingine,

1.Siasa zitaruhusiwa japo haitakuwa moja kwa moja ila itakuwa kama zimeachiwa fulani hivi, hii itakuwa tofauti na miaka ya nyuma hasa kwa wapinzani waliobanwa sana na kufunguliwa kesi mbali mbali kisa mikutano ya hadhara na iasiyo ya hadhara,

2.Kubana matumizi kutapunguzwa kwa asilimia kubwa maana mambo makubwa mengi yaliyogharimu hela ya watanzania wa chini hasa wanyonge na walipa kodi yameisha kwa asilimia zaidi ya 50, yaan vimebaki vichache kama elimu bila malipo itaendelea kugharimu ,na kuhamishia makao makuu Dodoma,

3.Kuachia hela kwenye mzunguko, (money circulation) , hali ya kiuchumi haitakuwa ngumu kama mwaka uliopita hii ni kutokana na ushauri maalumu wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa uchumi wa nchi za ulimwengu wa tatu,

4.Tutaanza kuziona Hotuba makini zilizo pangiliwa na zisizo na vitisho kwa watanzania na wasio watanzania zinazotolewa na mheshimiwa rais,

5.Ubabe utokanao na weledi mdogo wa wateule wa rais dhidi ya wanaowasimamia kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi utapungua maana kuna maelezo maalumu ya kuwa hasa wanaoteuliwa na mkulu kuacha kuchukua maamuzi ya pupa na kuweka watu ndani,

6.Kodi zisizo za lazima kwa watanzania na wafanya biashara wakubwa na wadogo zitaangaliwa upya na zitakuwa na fomula maalumu za kuzijua siyo kukadiria,

7.Wanafunzi wa kunufaika na Mkopo wa Chuo Kikuu na elimu ya juu wataongezeka na kufikia asilimia zaid ya 90 ya wanaoomba,

8.Vyombo vya habari na wamiliki wote wa vyombo hivyo wataheshimiwa na kupewa uhuru

yapo mengi sana

Britanicca

Usomi Nyakati kaka kwa sababu mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani kama kawaida!
 
Jela yako... Usinihusishe mimi
 
Hayo uliyosema hayawezi kutokea kwa jon huyu atabaki na msimamo wake kama yule pacha wake wa marekani na ukuta wa mexico
 
Sasa unaongea nini kwa sababu instituion zao zipo strong trump hafanyi kitu chochote pale akaachiwa kama huyu anavyofanya cag bunge mahakama zikikomaa hapa nchini magufuli attaacha wizi
Sasa si vikomae ili twende sawa, suala la wizi duniani kote wapo hata wangeingia pale chadema na straika mkuu wa upigaji bado tungepigwa tu, Leo hii mnajaribu kumshambulia JPM ili aonekane ni mwizi lakini wezi wa nchi hii wanajulikana hata chadema waliwaorodhesha kwenye ile list of shame licha ya kwamba wameiondoa kwenye website yao baada ya gear ya angani.
Muhimu tumbane rais atuletee maendeleo kwa Yale aliyohaidi kuwa tunalialia haitatusaidia hata wewe najua ungepata hiyo nafasi ungetupiga tu
 
Wewe ni mgonjwa hakuna sababu ya kuendelea kujadili na mtu unayeshadadia ufisadi wizi na ujambazi yaani magufuli kuiba trilioni 1.5 kwako ni sawa tu dah
 
Mkundu sana huyu binti , nchi za watu mapimbi kama hawa ni kuwapasua vichwa vyao kwa risasi tu
Munachekesha kweli yaani unavyotamka kupasua watu vichwa na risasi as if wewe upo salama mbona wewe unaliwa timing tu wewe utafurumushwa matumbo zaidi ya Mwangosi utazikwa kifurushi mwehu mkubwa hamtaki wizi wa magufuli tuuseme mwizi anaitwa mwizi hana jina lingine
 
Heri ya Mwaka Mpya kwenu wana jamii forums wote,
Kuna habari Nyeti ambazo zimetoka sehem nyeti na unyeti wake,
Mkulu katika kipindi hiki cha mwaka 2019 kitakuwa kizuri kwa watanzania na wasio watanzania lakini waishio Nchini Tanzania,

Mwaka 2016-2018 umekuwa miaka ya kuangalia mwenendo wako wa uongozi,
nimefurahishwa sana na ulivyobadili gia na kuanza mwelekeo mwingine,

1.Siasa zitaruhusiwa japo haitakuwa moja kwa moja ila itakuwa kama zimeachiwa fulani hivi, hii itakuwa tofauti na miaka ya nyuma hasa kwa wapinzani waliobanwa sana na kufunguliwa kesi mbali mbali kisa mikutano ya hadhara na iasiyo ya hadhara,

2.Kubana matumizi kutapunguzwa kwa asilimia kubwa maana mambo makubwa mengi yaliyogharimu hela ya watanzania wa chini hasa wanyonge na walipa kodi yameisha kwa asilimia zaidi ya 50, yaan vimebaki vichache kama elimu bila malipo itaendelea kugharimu ,na kuhamishia makao makuu Dodoma,

3.Kuachia hela kwenye mzunguko, (money circulation) , hali ya kiuchumi haitakuwa ngumu kama mwaka uliopita hii ni kutokana na ushauri maalumu wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa uchumi wa nchi za ulimwengu wa tatu,

4.Tutaanza kuziona Hotuba makini zilizo pangiliwa na zisizo na vitisho kwa watanzania na wasio watanzania zinazotolewa na mheshimiwa rais,

5.Ubabe utokanao na weledi mdogo wa wateule wa rais dhidi ya wanaowasimamia kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi utapungua maana kuna maelezo maalumu ya kuwa hasa wanaoteuliwa na mkulu kuacha kuchukua maamuzi ya pupa na kuweka watu ndani,

6.Kodi zisizo za lazima kwa watanzania na wafanya biashara wakubwa na wadogo zitaangaliwa upya na zitakuwa na fomula maalumu za kuzijua siyo kukadiria,

7.Wanafunzi wa kunufaika na Mkopo wa Chuo Kikuu na elimu ya juu wataongezeka na kufikia asilimia zaid ya 90 ya wanaoomba,

8.Vyombo vya habari na wamiliki wote wa vyombo hivyo wataheshimiwa na kupewa uhuru

yapo mengi sana

Britanicca
Wanaenda likizo,wata resume full baada ya October 2020

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Wewe ni mgonjwa hakuna sababu ya kuendelea kujadili na mtu unayeshadadia ufisadi wizi na ujambazi yaani magufuli kuiba trilioni 1.5 kwako ni sawa tu dah
Wapi wamesema hiyo pesa imeibiwa? CAG amehoji Matumizi yake ndio maana alipoulizwa na rais alisema haijapotea, tatizo la akili ndogo ni uelewa
 
Akibadilika, muswada wa vyama vya siasa utakuwa sheria tayari na msajili wa vyama atafanya kazi za jiwe. Yaani itabadilika chupa tu, mvinyo ni ule ule.
 
Back
Top Bottom