Kwa kibantu ni kwamba usiwe kama Mbowe siku ya maandamano unajificha, kwenye chai ikulu unakuwa mbele.
Heeee! kumbe ndio tafsiri yake, jamani mna raha mnaojua kiingereza, ahsante sana. nimepata concept ya uzi huu. uko vizuri sana kwenye lugha ya malkia ndugu yangu Kadhi Mkuu hadi natamani kichwa chako ndio kiwe changa