GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
"A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16)
Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI ACHUKIAYE RUSHWA HUONGEZA SIKU ZAKE ZA KUISHI
"A just King gives stability to his nation, but one who demands bribes destroys it" (Proverbs 29:4)
Kiswahili: MFALME APENDAYE HAKI HULIIMARISHA TAIFA LAKE, LAKINI APOKEAYE RUSHWA HULIHARIBU
"Don't be surprised if you see a poor person being oppressed by the powerful and if justice is being miscarried throughout the land. For every official is under orders from higher up, and matters of justice get lost in red tape and bureaucracy" (Ecclesiastes 5:8)
Kiswahili: USISHANGAE UONAPO MASKINI AKIONEWA NA MWENYE NGUVU NA HAKI KUPINDISHWA KATIKA NCHI. KWA KUWA KILA AFISA HUPOKEA MAAGIZO KUTOKA KWA WAKUBWA ZAKE NA HAKI HUPOTEA KUTOKANA NA URASIMU
Umejifunza nini kwa hiyo mistari michache?