Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,632
- 167,500
watu washamba kweli ! Nyumba yenyewe ya kotas haina hata nusu heka ya gaden !Hii nyumba ya Mwamvita ni Vodacom peke yake au na Tigo pia inahusika?
eti hekalu!!:heh: we unaonekana haujui kiswahili, haka kakiitwa hekalu na pale ikulu tupaiteje, kajumba kenyewe kamekaa bila mpangilio utadhani nyumba za manzese.
eti hekalu!!:heh: we unaonekana haujui kiswahili, haka kakiitwa hekalu na pale ikulu tupaiteje, kajumba kenyewe kamekaa bila mpangilio utadhani nyumba za manzese.