TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,502
- 28,432
Bab al-Aziziya kwishnehi
Mimi nilitegemea utasikitika kwa jinsi walivyothibitisha maneno yangu niliyoyatoa hapo kabla kuwa ntc ni wahuni na sasa wameongeza ujinga unaoelekea kwenye upumbavu. Hivi unadhani hili ni jambo la busara wamefanya kugeuza Sirte na waafrika wakazi wake majivu na haya wafanyayo sasa?