FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
FaizaFoxy;
Hata hiyo nguo uliotanda kichwani inakuhukumu. Sema maneno mengine ila usiutukane ugonjwa. Wangapi walimtukana hawapo??
Waliringia afya zao leo hawana pa kuringia?? Tema mate
Wewe punguani kama unajuwa mtu mgonjwa unamchaguwa wa nini? Ulifikiri Ikulu ni ICU?
Mgonjwa kwake ni hospitali, siyo Ikulu.