Hekaheka za kampeni: Picha bora za siku

Hekaheka za kampeni: Picha bora za siku

Unazeeka vibaya bi mkubwa! Vipi kufuli amekuahidi kuuondosha mfumo kristo?

Mfumo kristo unakwisha duniani, si unaona makundi na makundi ya Waislam wanaoingia huko huko Uropa yyalikoanzia makanisa, matokeo, jionee:

dt.common.streams.StreamServer.cls
 
Safi sana Rais wa watu. Huku mtaani Watoto ni Lowassa tu. Utasikia mabadiliko Lowassa. Lowassa mabadiliko. Peoples Power.
 
Tulia sindano iwachome kunako. Mabadiliko ni lazima
 
Mfumo kristo unakwisha duniani, si unaona makundi na makundi ya Waislam wanaoingia huko huko Uropa yyalikoanzia makanisa, matokeo, jionee:

dt.common.streams.StreamServer.cls
Mbona unakimbia hoja? Je komredi Kufuli kakuahidi kuuangamiza mfumo kristo ha Tanzania?
 
faiza ukristo hauwezi kuisha. trust me. niishie hapo. ukitaka nikupige gospel nitafute.
 
Tazama picha vizuri.

Hujafa hujaumbika lakini Mungu aniepushie nikifikia hali ya Lowassa hata ujumbe wa nyumba kumi sitakuwa na hamu nao.

Shauri yako yuko wapi Celina Kombani na Katibu wa CCM wa Ilala? utatangulia kwa muumba umuache huyo
 
Tazama picha vizuri.

Hujafa hujaumbika lakini Mungu aniepushie nikifikia hali ya Lowassa hata ujumbe wa nyumba kumi sitakuwa na hamu nao.

FaizaFoxy;
Hata hiyo nguo uliotanda kichwani inakuhukumu. Sema maneno mengine ila usiutukane ugonjwa. Wangapi walimtukana hawapo??
Waliringia afya zao leo hawana pa kuringia?? Tema mate
 
Mfumo kristo unakwisha duniani, si unaona makundi na makundi ya Waislam wanaoingia huko huko Uropa yyalikoanzia makanisa, matokeo, jionee:

dt.common.streams.StreamServer.cls


Pepo la UDINI la FaizaFoxy limeamka jamaniiii. Tunalikemea kwa Jina la Yesu Kristoooo. Toka kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai.
Pepo baya la mafisieeem likiongozwa na FF.
 
Pepo la UDINI la FaizaFoxy limeamka jamaniiii. Tunalikemea kwa Jina la Yesu Kristoooo. Toka kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai.
Pepo baya la mafisieeem likiongozwa na FF.

Ukibeep napiga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom