Heka Heka za Ndoa.

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
112,101
Reaction score
181,132
Hey wajaa!

Kumbe huko ndoani, kuna njegeka hivii? Watu na ndoa zao mjinii, afu sio shida zao sasa.

Ktk kitu nachochukia na sipendi ni UNAFIKI na KUTOJIKUBALI/ KUKUBALI UHALISIA, kwann uzunguke? Kwann uishi maisha ya mateso? Mahangaiko, eti kisa kuridhisha waja na jamii! Ili iweje yaan? Na kwa kipi hasa? Usawa huu uhahe kuhusu watu watakuonaje? Au kukuchukuliaje? Si utumwa kabisa huu.

Mwisho wa siku ni unaishia kudhalilika na kufadhaika, kile ulichokilinda au kukificha, kinakuwa wazi na hadharani na kinageuka adui au tatizo sasa, lol

Kwa scenario hii, huyu mume ni mpumbavu, toka lini bi mdogo unamleta ndani ya nyumba yako? Tena aishi na mke mwenza? Bi mdogo mwenyewe toleo jipya? Kabisaa? Wacha nicheke? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sio kwa ujasiri huo mweeh.

Nae bi mdogo kukubali kuishi na mke mwenza? Haogopii? Ila sometimes toleo jipya wana ujasiri na hawaogopi kitu yaan, mume wa mtu kamchukua na ana mmiliki humo humo ndani, yaan hana wasi wasi, anavaa bikini, shumizi, jamani hadi shangaa anavaa mwayaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aiiiih halali mume achanginyikiwe, na ukute ana umbo maridhawa, aaah imeishaa hiyoo.

Mambo ndio hayo huko ndoani, uke wenza hauepukiki, sasa utaamua awe ke mwenzio, au toleo jipya.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dunia inachangamka sana mambo ni moto jamani watu wanapenda donut
 
Suala lolote huwa lina matokeo chanya au hasi, ndoa ina husisha watu wawili wenye mitazamo tofauti.

Zipo ndoa zilizo faulu, pia zipo ndoa zilizo feli kutokana na sababu kadha wa kadha.

Mfano mmoja mbaya hauondoi uzuri wa jambo fulani, na uzuri wa jambo fulani hauondoi ubaya wa suala fulani.

Commitment na utiifu ni jambo bora ili kujenga familia Bora.
 
Watu kumbe mnafunga ndoa kimya kimya na hamsemi ?

Ngoja timu kataa ndoa waje wajikusanyie point za mezani buree 😊 πŸ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…