heka 10 zinauzwa kigamboni mwongozo

heka 10 zinauzwa kigamboni mwongozo

Joined
Jan 30, 2014
Posts
6
Reaction score
0
heka kumi zinauzwa kigamboni sehemu inaitwa mwongozo kigamboni ni umbali wa km 15 kutoka ferry wasiliana nami 0784806980
 
tushachoshwa na matangazo ya ajabu kama haya, tuwasiliane na wewe ili nini? weka bei mtu akivutiwa ndo anapiga simu!

usiwe mkali bro bei ni mil 120 ni kiwanja kilikuwa na ukubwa wa heka 50 na hati yake ipo ila sasa mzee anapunguza heka 10......
 
Ni umbali gani kutoka barabara kubwa? unavuka daraja la muongozo au nyuma ya daraja? Nikitaka heka moja napata?
 
Ni umbali gani kutoka barabara kubwa? unavuka daraja la muongozo au nyuma ya daraja? Nikitaka heka moja napata?

yaani ni baada ya daraja halafu kile kituo kinachofuatia unakata kulia ni kama dakika 5 mpaka 10 kufika kwenye plot kwa heka 1 haitawezekana atleast kuanzia heka 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom