Kingfisher JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 4,974 Reaction score 8,116 Jul 16, 2018 #21 The art of steal
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #22 jimmyfoxxgongo said: Mmoja anielekeze jinsi ya kudownload hizi mambo wadau pamoja na subtiles Click to expand... Google search na i download Showbox utazipata clear.. kuhusu subtitle hiyo sina uzoefu.
jimmyfoxxgongo said: Mmoja anielekeze jinsi ya kudownload hizi mambo wadau pamoja na subtiles Click to expand... Google search na i download Showbox utazipata clear.. kuhusu subtitle hiyo sina uzoefu.
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #23 dramaqueen1 said: Ocean's series plot zake zimekaa vibaya sana, story yake pia kidogo inamapungufu Click to expand... Ocean ya mwisho ndio haijakaa poa lakini zile zingine zipo poa mbona!..
dramaqueen1 said: Ocean's series plot zake zimekaa vibaya sana, story yake pia kidogo inamapungufu Click to expand... Ocean ya mwisho ndio haijakaa poa lakini zile zingine zipo poa mbona!..
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #24 Da'Vinci said: Mzee baba umeiona Vintage Point...? Click to expand... Nah!.. ni nzuri?
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #25 culture gal said: How about Focus ya Will Smith. Click to expand... Ile imetulia sana sehemu za mind manipulation pale!.. Ilibidi nipafanyie research but seemz ni kitu kisichowezekana!.Ila story nzuri.
culture gal said: How about Focus ya Will Smith. Click to expand... Ile imetulia sana sehemu za mind manipulation pale!.. Ilibidi nipafanyie research but seemz ni kitu kisichowezekana!.Ila story nzuri.
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #26 Charaxes said: The art of steal Click to expand... mpya hii?
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,561 Jul 16, 2018 #27 Palantir said: Nah!.. ni nzuri? Click to expand... Ni nzuri mnoo. Ni mashambuliz ya kumuua rais wa USA nchini Hispania alipokua kwenye mkutano
Palantir said: Nah!.. ni nzuri? Click to expand... Ni nzuri mnoo. Ni mashambuliz ya kumuua rais wa USA nchini Hispania alipokua kwenye mkutano
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Jul 16, 2018 Thread starter #28 Da'Vinci said: Ni nzuri mnoo. Ni mashambuliz ya kumuua rais wa USA nchini Hispania alipokua kwenye mkutano Click to expand... nitaitafuta hiyo!..
Da'Vinci said: Ni nzuri mnoo. Ni mashambuliz ya kumuua rais wa USA nchini Hispania alipokua kwenye mkutano Click to expand... nitaitafuta hiyo!..
Kingfisher JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 4,974 Reaction score 8,116 Jul 21, 2018 #29 Palantir said: mpya hii? Click to expand... Sio mpya lakini ni nzuri mkuu
dtj JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,335 Reaction score 1,389 Apr 8, 2019 #30 FRANC THE GREAT said: Tafuteni FAST & FURIOUS 5 A.K.A. FAST 5. Dominic Torreto na tim yake wanakomba 100 million Dollars kutoka kwenye Police station. Click to expand... Ndiooo sasa mkuu nisababishie naioataje hii mambo.. Sent using Jamii Forums mobile app
FRANC THE GREAT said: Tafuteni FAST & FURIOUS 5 A.K.A. FAST 5. Dominic Torreto na tim yake wanakomba 100 million Dollars kutoka kwenye Police station. Click to expand... Ndiooo sasa mkuu nisababishie naioataje hii mambo.. Sent using Jamii Forums mobile app
msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,928 Reaction score 2,440 Apr 9, 2019 #31 Hurricane Heist iyo ni noma jamaa wanapora Hazina ya USA, Pesa kibao Sent using Jamii Forums mobile app
Hurricane Heist iyo ni noma jamaa wanapora Hazina ya USA, Pesa kibao Sent using Jamii Forums mobile app
The August JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,079 Reaction score 2,027 Apr 14, 2019 #32 Players ya wahindi walioirudia Italiana Job imekaa poa sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,935 Reaction score 27,192 Apr 14, 2019 #33 Series MONEY HEIST Sent using Jamii Forums mobile app
muxa Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 195 Reaction score 161 Apr 14, 2019 #34 Southern Highland said: Series MONEY HEIST Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huu moto MONEY HEIST ( LACASA DE PAPEL ) ni noma professor ni mastermind Sent using Jamii Forums mobile app
Southern Highland said: Series MONEY HEIST Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huu moto MONEY HEIST ( LACASA DE PAPEL ) ni noma professor ni mastermind Sent using Jamii Forums mobile app
Wordsworth JF-Expert Member Joined Jan 14, 2019 Posts 1,217 Reaction score 3,425 Apr 14, 2019 #35 Inception. Christopher Nolan hajawahi kuniangusha.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,371 Reaction score 43,001 Apr 14, 2019 #36 Thick as thieves ya FREE MORGAN ni bonge la movie kuna akili nyingi sana inatumika. Vintage point nayo ni noma
Thick as thieves ya FREE MORGAN ni bonge la movie kuna akili nyingi sana inatumika. Vintage point nayo ni noma
NEMEZIZ JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 563 Reaction score 337 Apr 14, 2019 #37 KUNA PIECE INAITWA INSIDE MAN ebana watu wanaiba bank kwa kutumia fake weapons Trial Tribulation But i know God
KUNA PIECE INAITWA INSIDE MAN ebana watu wanaiba bank kwa kutumia fake weapons Trial Tribulation But i know God
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 381 Reaction score 810 Apr 14, 2019 #38 Kaangalie Triple frontier ina story ya wanajeshi wastaafu waliokwenda kuiba pesa za kiongozi wa genge la madawa ya kulevya
Kaangalie Triple frontier ina story ya wanajeshi wastaafu waliokwenda kuiba pesa za kiongozi wa genge la madawa ya kulevya
mzee_wa_mishemishe Member Joined Aug 6, 2013 Posts 61 Reaction score 79 Apr 14, 2019 #39 Imposters itafute hii series ni hatari Sent using Jamii Forums mobile app
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Apr 14, 2019 Thread starter #40 Going in Style The Old Man and the Gun Widows Logan Lucky Bad Genius