Huu sasa umbea dot com.
Hahahaha! Nashukuru na wewe pia.mi sijambo kabisa! Heri ya mwaka mpya?
Kwani kuna nini John Elias?
Hahahaaa kwani nini kaka?
Funguka
Hivi umetoka lini jela ya BAN...???kama memory yangu iko sawa nakumbuka ulikua BANNed recently...
Hehehe! Na mie nna wa kwangu nataka unisaidie kumgeuza panya pia manake amezidi umbea na kuzulia watu humu! Natamani kumgeuza panya sema sina huo uwezo.... Ni mtu mzima sema hovyooooo! Anajijua nikilewa nakuja kumwanika hadharani.
Haya bwana we chezea tu ma mod ulambe Ban, kwani askali wote huvaa magwanda?
Dah mwaego ntakupa full story nilipotelea wapi... So far Am back and alive!! Tutakutana kwenye party hopefully..hehe hivi nahisi nshaachika mweh!Jamani wewe! Daah hata siamini macho yangu! Umepotelea wapi mpenzi? Yaani bado kidogo Erickb52 anywe sumu kwa kukukosa muda mrefu! Karibu tena & miss you more mamito!
Hehehe! Na mie nna wa kwangu nataka unisaidie kumgeuza panya pia manake amezidi umbea na kuzulia watu humu! Natamani kumgeuza panya sema sina huo uwezo.... Ni mtu mzima sema hovyooooo! Anajijua nikilewa nakuja kumwanika hadharani.
Dah mwaego ntakupa full story nilipotelea wapi... So far Am back and alive!! Tutakutana kwenye party hopefully..hehe hivi nahisi nshaachika mweh!
Hahahaaaa nikupe cha Arusha John Elias ?Marry Hunbig,kuna kidudu mtu namvutia kasi hapa,nikila cha Arusha tu nakuja kumtaja hapa.
Copy to Erickb52
Bby achana na hawa yan waliona raha mi kubaki mwenyewe....!Usiniambie Filipo ?!!! kahamia kwa nani?!!