Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?


yani mimi shemejio siku akiniumiza
na yeye ataumia mara kumi yake staki shida!!
 

yani mimi ningekua mleta mada
kibri ambayo ningemuonyesha angejuta
kunifahamu,na line ningebadili kabisa asinipate!!
 
Uzuri wa mapenzi ni kwamba mambo yakianza kwenda ndivyo sivyo unayaona from a far hayakatiki kama umeme wa tanesco ghafla yan..duuh message 3 kwa 500, mkuu hapo kuna raia wanamkeep busy..na huyo manzi kesha wazoea sasa sijui utafanyaje kuwapiku woote hao hata ukiweza itakua shida bado mkuu..maana kuchat hupendi..!!!
 
Duh!hana kazi za kufanya huyo mzinzi mwenzio?maana sio jambo la kawaida kwa mtu aliye bussy na kazi zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…