hali hiyo ni kawaida sana kwa wanawake inatokeaga wiki moja kabla ya kuingia kwenye hedhi.inatofautiana kati ya mwanamke huyu na mwengine..wengine wanakuwa na maumivu makali kwenye nyonga.wengina wana kuwa na homa au dalili za maralia lakini sio.wengine wanakuwa wanatapika na kuhalisha.wengine ndo wanakuwa na hasira.bila sababu za msingi.hivyo isikupe shida mkuu.