Hedhi ina uhusiano wowote na hasira?

Hedhi ina uhusiano wowote na hasira?

hahahaaaa!walaahi jahazi mwe kweli wee!
 
hali hiyo ni kawaida sana kwa wanawake inatokeaga wiki moja kabla ya kuingia kwenye hedhi.inatofautiana kati ya mwanamke huyu na mwengine..wengine wanakuwa na maumivu makali kwenye nyonga.wengina wana kuwa na homa au dalili za maralia lakini sio.wengine wanakuwa wanatapika na kuhalisha.wengine ndo wanakuwa na hasira.bila sababu za msingi.hivyo isikupe shida mkuu.
 
kuna ukweli flani wengne hasira kisirani wengne wanakuwa wapole na kulalala
 
Kwel kabsa...mfano mzuri mie!ukinikera naeza nkakukwarua
 
z true ase mi nakuwa na hasira za haraka zaid na kulia pia! loh
 
Ni kweli.



Na hata wanapokuwa kwenye ujauzito pia, usishangae mbona mamsapu amebadilika sana kitabia
 
Back
Top Bottom