PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.

"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.

Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.

Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?

Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"

Pia, Soma: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

View attachment 3328108
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
 
Njaa mbaya
 
Chama kilikaliwa na wahuni aisee, malalamiko ya mchungaji msigwa yalikua na kitu ndani yake.
Mbowe mtoto wa mjini ,wenda alisha wasoma akaona acha awakatae kiana ,na wenda hata huko wanapokwenda anawachora anaweza kuwaacha hewani
 
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.

"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.

Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.

Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?

Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"

View attachment 3328108

Ni wale vijana wa hovyo wapenda nyama na pombe za bure, na wakwendree tu.
 
Attachments

  • 1744224725751.png
    1744224725751.png
    459.5 KB · Views: 14

Hao waliojiondoa CHADEMA wametumia haki yao ya kikatiba.

Nyinyi uongozi wa,sasa na hao mnaowaita kundi la Mbowe mna tofauti za,msingi za approach ya kufanya siasa, katika hali hii busara imewaelekeza kuachana na nyinyi kuliko kukaa mnavutana badala ya kuendeleza mapambano ya demokrasia.

Mlichotakiwa kufanya ni kushukuru wameondoka kwa amani badala ya kuleta migogoro ambayo mngepelekana hadi kwa msajili na mahakamani.

Kipi bora wabakie ndani ya chama na muendelee kulumbana badala ya kufanya kazi za chama au kutengana kila mtu apate fursa ya kufanya kile anachoamini ni sahihi?

Ila kwa kuwa watanganyika wamelala usiingizi ndio maana wanasiasa wote wanajidai kuwapigania wakati ukweli ni kuwa siasa ni ajira kwa kila mwanasiasa hata wale wa chama tawala.
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Hata nyerere aliomba michango kwa watanganyika ambao walikuwa hata mitumba hawana
 
Usichoelewa nini apo maana kwa kawaida maskini huwa anaambana na maskini mwenzie ndio maana heche anaomba kwa kile kidogo wagawane
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Ni kwa 7bu miongoni mwa Watanganyika masikini ni pa1 na hao CHADEMA. Hii ina maana kwamba CCM pekee ndio matajiri na Waarabu.
Kwa hiyo CHADEMA kuchangiwa kume7bishwa na CCM mkuu.
 
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.

"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.

Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.

Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?

Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"

Pia, Soma: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
View attachment 3328108
Endeleeni kupiga porojo na mtaishia hivyo hivyo na porojo za tonetone.

Duniani watu wanatafuta maisha,nyie mnatafuta nini? 😁😁👇👇

View: https://x.com/HabariDigital_/status/1920494418999611798?t=e4m20xqzX_KumtXGMg4KtA&s=19
 
Hata nyerere aliomba michango kwa watanganyika ambao walikuwa hata mitumba hawana
Unazungumzia mambo ya mwaka 1955. Sawa. Nakuelewa. Sasa kwanini muwaambie wao ni maskini kwasababu ya CCM, halafu muwaombe michango?
Natanguliza shukrani kwa majibu utakayonipa! 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom