Heche: Ongezeko la bei ya mafuta na miamala inatokana na wabunge wa serikali

"Wabunge waliochaguliwa na wananchi hawawezi kukaa kwenye bunge linalowaongezea wananachi gharama kila siku. Wabunge wa wananchi siku zote wanajitahidi kuibana serikali ipunguze gharama za maisha kwa wananchi. Ongezeko la bei ya mafuta na miamala inatokana na wabunge wa serikali" - Mh John Heche
Kina Zungu, Nchemba and co. Absolutely useless hawa...
 
Huko ni kulidhalilisha Bunge la JMT,nadhani ungetumia maneno ya staha ujumbe wako ungefika pia.Mh. Rais aliwahi kusema tuwakosoe kwa heshima na siyo kuwatukana.
Wao mbona hawakuishia bungeni kwa staha?
 
Hilo wala sio bunge ni kikao cha ccm kinaendeshwa kwa mgongo wa bunge ili kuenderea kuitafuna Mama Tanzania
 
jamani mi natoka jela leo kwani kulikuwa na bunge si niliambiwa uchaguzi haukuwa wepo bali uteuzi
 
Huko ni kulidhalilisha Bunge la JMT,nadhani ungetumia maneno ya staha ujumbe wako ungefika pia.Mh. Rais aliwahi kusema tuwakosoe kwa heshima na siyo kuwatukana.
sawa kimada wa marehemu jiwe, tumekusikia
 
Hilo si Bunge bali ni genge la wahuni waliokusanywa na dhalimu mwendazake na kupelekwa Bungeni.
Unasema ukweli mtupu mbona hawakupendekeza wao wakatwe kodi katika mishahara yao pamoja na mshahara wa raisi wao au wao hawatumii hizo bara bara na mahospitali.
 
"Wabunge waliochaguliwa na wananchi hawawezi kukaa kwenye bunge linalowaongezea wananachi gharama kila siku. Wabunge wa wananchi siku zote wanajitahidi kuibana serikali ipunguze gharama za maisha kwa wananchi. Ongezeko la bei ya mafuta na miamala inatokana na wabunge wa serikali.

Unamtumia mama yako pesa kijijini wanakata tozo, mama ambae hana kazi anakwenda kutoa pesa ili anunue sababu nae wanamkata tozo.

Hili ndio bunge ambalo zaidi ya nusu ya wabunge wake hawakuchaguliwa na wananchi, bunge linalopunguza bei ya bia na kuongeza bei ya mafuta." - Mh John Heche
Bunge la mwendazake
 
Inaumiza sana
 
Back
Top Bottom