HECHE na LEMA ndiyo suruhisho CHADEMA

Marcus yuko vizuri
 
Wewe ni kigagula tu huna cha kunishauri
Kweli kabisa, sina cha kukushauru, mimi namwaga darsa bila hiyana. Nafahamu kuwa kwa sasa unaelewa kuandika suluhisho. Pia unaelewa namna ya kuandika dhahiri. Kutamka nafahamu hutoweza kuelewa labda uende madrasa, huko ndiko kwenye Kiswahili fasaha.
 
Pumbaf sana wewe
Kweli kabisa, sina cha kuku shauri Mimi na wala darsa bila hiyana. Nafahamu kuwa kwa sasa unaelewa kuandika suluhisho. Pia unaelewa namna ya kuandika dhahiri. Kutamka nafahamu hutoweza kuelewa labda uende madrasa, huko ndiko kwenye Kiswahili fasaha.
 
Wanachadema wakijitambua bila Shaka na nchi watachukua.
Hivi vilitumika vigezo gani kumuacha Mnyika na kumchukua Mashinji?
Mkazieni Mbowe amtoe Mashinji aje Mnyika.
Achaneni na Lema haiwezi hiyo nafasi ni Mnyika au Mwalim wa znz
 
Asante sana kwa mchango wako wa kujenga
Wanachadema wakijitambua bila Shaka na nchi watachukua.
Hivi vilitumika vigezo gani kumuacha Mnyika na kumchukua Mashinji?
Mkazieni Mbowe amtoe Mashinji aje Mnyika.
Achaneni na Lema haiwezi hiyo nafasi ni Mnyika au Mwalim wa znz
 
Ila mkuu kwa mawazo yangu naona hao wote ulio wataja ni viongozi wazuri ila sasa wamezidi sana kuwa wapole kulinganisha na Heche

Upole wa Mnyika ni baada ya kuletwa kwa Lowassa na kuondoka kwa Slaa.
Ila mikuambie kitu Mnyika ni mzuri sana katika kujenga hoja kama alivyo Lissu.

Kama una amini chadema wanajielewa kukaribia hata uelewa wa panzi, pole yako sana
 
Shukrani sana mkuu
Upole wa Mnyika ni baada ya kuletwa kwa Lowassa na kuondoka kwa Slaa.
Ila mikuambie kitu Mnyika ni mzuri sana katika kujenga hoja kama alivyo Lissu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…