Suruhisho = suluhisho
Dhaili = dhahiri
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwani hujui kuwa Vincent ni katibu mkuu msomi kuliko wote Afrika?umemtaja Heche kiunafiki lakini unamtaka Lema ili chama kiongozwe na familia.Rekebisha uandishi wakoKwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.
Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Kwani hujui kuwa Vincent ni katibu mkuu msomi kuliko wote Afrika?umemtaja Heche kiunafiki lakini unamtaka Lema ili chama kiongozwe na familia.Rekebisha uandishi wako
Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.
Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Nakubaliana na ushauri wako mkuu kwa sasa kazi ya katibu haionekani kabisa na hali ndiyo inazidi kuwa dorooooDuuu mkuu ndio umejua leo!? Ndani ya miezi sita ya mwanzo ya huyo katibu mkuu tulianza kusema tumepoteza, na tukashauri kwa kusema mtu sahihi alikuwa Marcos Albanie. Hata Lema hafai kwa nafasi hiyo maana cdm itaishia kuchafuliwa na propaganda mfu ya uchaga. Heche au Marcos Albanie ni watu sahihi kwa nafasi hiyo. Huyo Mashiji hastahili hata kuchemsha chai hapo ofisini. Kwa kuongezea, hata Mbowe sio mbaya akipumzika kwa heshima kama Sir Alex Ferguson.
Tatizo ni shule tu.Wewe mwenyewe ni mjinga tu
Nakubaliana na ushauri wako mkuu kwa sasa kazi ya katibu haionekani kabisa na hali ndiyo inazidi kuwa doroooo
Napendekeza Sugu awe mwenyekiti na Heche awe Katibu mkuu.Kwa hali inavyokwenda ndani ya cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini ni dhaili sasa cdm tunahitaji nguvu mpya kwenye nafasi ya katibu mkuu wa chama.
Kwa sasa tunahitaji watu kama mh Lema na Heche kushika nafasi ya katibu mkuu ndani ya chama.
Kwa sasa chama kimezidi kupoa sana.
Ni kweli kabisa, hata Naibu katibu mkuu awe Mchungaji Msigwa.Kunachotakiwa ni utendaji unao kubalika na wana cdm hata kama wote wangekuwa ni wagogo hakuna shida
Duuu mkuu ndio umejua leo!? Ndani ya miezi sita ya mwanzo ya huyo katibu mkuu tulianza kusema tumepoteza, na tukashauri kwa kusema mtu sahihi alikuwa Marcos Albanie. Hata Lema hafai kwa nafasi hiyo maana cdm itaishia kuchafuliwa na propaganda mfu ya uchaga. Heche au Marcos Albanie ni watu sahihi kwa nafasi hiyo. Huyo Mashiji hastahili hata kuchemsha chai hapo ofisini. Kwa kuongezea, hata Mbowe sio mbaya akipumzika kwa heshima kama Sir Alex Ferguson.