Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi, Mbunge Peter Msigwa, Mbunge Rose Kamili na Mbunge Suzan Kiwanga leo wataunguruma Mjini Morogoro katika Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CHADEMa litakalofanyika katika ukumbi wa SAVOA.
Kongamano hilo limeandaliwa na CHASO Mkoa wa Morogoro kwa mujibu wa matangazo yaliyabandikwa sehemu mbali mbali hapa Morogoro litaanza saa tatu kamili asubuhi.
Mungu yupo upande wa CDM
Katibu Mkuu wa Chadema kapora mke wa mtu na hata Rose Kamili ni mjane alie achwa na Padri Slaa,Mungu hasikilizi maombi ya wazinzi hivyo naamini MUNGU hawezi kuwa upande wa CDM,kiongozi wao mikino yake michafu na ni chukizo mbele za Mungu!