Heche, Munishi, Msigwa na Rose Kamili kuwasha moto Vyuo Vikuu Morogoro

Kumbuka mungu anavyozungumza kwenye biblia kumbe haujui biblia kama wewe si mdhambi mpige mwenzako jiwe slaa anataka kuwakomboa watanzania kutoka utumwa wa mwafrika wenyewe na rose vilevile anajitahidi kuwakomboa watanzania angalia nchi ilivyo uzwa wawekezaji wako mezamoja na mawaziri na wanazidi kuneemeka wenyewe na kugawa trekta za rushwa na pikiki wanazopata toka kwa wawekezaji ili waendelee kutunyonya .je hata hiyo huioni hatari
 
wananchi wa bassotu na mulbadaw wilayanii hanang walalamika kutokushirikishwa katika zoezi zima la kutwaliwa maeneo yao na kuwa ya hifadhi bila yaa kufuata sheria ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 na 4 na no.5.walishtukia wanaweka becones na kudai eneo hilo ni la hifadhi ya ziwa bassotu pindi watu hao wanayatumia maeneo haya hata kabla ya operation vijiji ya mwaka 1975.hata wakati wa ukoloni sasa hivi wanaishi katika maeneo yao kama wakimbizi na wananchi wapatao mia moja.katika vitongoji tofauti waliofika kupima maeneo hyo walikuwepo maafisa toka ngazi ya wilaya na wengine toka ngazi ya vijiji wala hakuna mkutano mkuu ulio kaa .ndugu watanzania tunaomba msaada wenu wnaharakati mtusaidie na wanasiasa wasiwe wale wanafiki kama diwani wa kata yaa bassotu anakwendaa kwa maslahi yake wanasheria mtusaidie kwa kila hali tumeonewa vyaa kutosha jamani mbunge wa jimbo amebakia kwenye maslahi yake wkkazi tumeumia
 
Tunakuombea kwa Mungu Dr Slaa ili mkono wake uwe nawe daima. Waache wenye midomo iliyojaa matusi, kwani Mungu wetu siyo Mungu wa matusi.
 
Katibu Mkuu wa Chadema kapora mke wa mtu na hata Rose Kamili ni mjane alie achwa na Padri Slaa,Mungu hasikilizi maombi ya wazinzi hivyo naamini MUNGU hawezi kuwa upande wa CDM,kiongozi wao mikino yake michafu na ni chukizo mbele za Mungu!

Wewe ulivyo inaelekea una mawanzo ya kizinzi zinzi na kuiba wake za watu na ndio maana unadhani wenzako nao ni wazinzi na wapora wake za watu.
 
Rose Camili aangaliwe sana nina wasiwasi ana ndimi mbili!

Wenye ndimi mbili wako CCM na baba Mwanaasha alikiri hilo. Kwa hiyo wewe ni nani mpaka ujaribu kupotosha ukweli huo?
 
Wewe ulivyo inaelekea una mawanzo ya kizinzi zinzi na kuiba wake za watu na ndio maana unadhani wenzako nao ni wazinzi na wapora wake za watu.

usjidanganye wenye ndimi mbili wapo kila mahali mfano John SHIBUDA ana ndimi mbili, Augustine Mrema ana ndimi mbili sasa ss CDM lazima tuchunguze kwenye chama chetu nani mwenye ndimi mbili! kumbuka Rose baada ya kufungua kesi dhidi ya slaa alipokekewa kwa shangwe na kukumbatiwa na nani wakati anaingia bungeni kama huna kumbukumbu niulize
 
Utamfananishaje Rose Kamili na Shibuda anayekitukana Chama chake na viongozi wake kwenye mambo ya kichama? Utamfananishaje Rose Kamili na Mrema alieye upinzani lakini anacheza ngoma za CCM. Ulishamuona wapi Shibuda akifungua tawi la CDM wakati Rose anachapa Mzigo kwake Hanang na kuingineko. Mambo ya kifamilia ni tofauti na mambo ya kioganaizesheni bob! Lete vigezo vingine vya undimi mbili wake lakini si hivyo.
 
ila umeelewa ndimi mbili zipo kila mahali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom