Heche mgeni rasmi kwenye mahafali ya kukabidhi wanachadema vyeti saut mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche mgeni rasmi kwenye mahafali ya kukabidhi wanachadema vyeti saut mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Jun 3, 2011.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema (bavicha) atatumia mahafali ya wanachadema wanaohitimu chuo cha mtakatifu Agustino jijini mwanza kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kesho tarehe 4/ 6/2011
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Atakuwa na nafasi ya kusalimiana na wenzake aliowaacha Saut
   
 3. K

  Kaseko Senior Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mambo ya heche bwana
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wote ni walewale tu. Hakuna jipya hapo.
   
 5. M

  MPG JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana HECHE nenda kawafunde vijana waanze mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi ccm madarakani
   
 6. Shibalanga

  Shibalanga Senior Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Karibu SAUT:dance:
   
 7. 1

  19don JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tawi lingene la cdm, hongera mkuu heche
   
Loading...