Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema amesikia kuwa wapo watu waliomfuata Lissu na kumwambia akubali kuachiliwa huru kwa sharti la kuondoka nchini.
Soma zaidi > Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa
Hata hivyo, Heche ameeleza kuwa Lissu aliwajibu akisema yuko tayari kukaa gerezani kuliko kuachiliwa kwa masharti ya kuondoka ndani ya nchi yake.