Watu makiniView attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.
Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
"Migambo wanaruka na kukanyagana......!"View attachment 3672843

Huo ndio ukubwa.
Sema nguvu ya Umma imemfanya Lema awe mtiifu, bila hivyo alitaka kuwapanda watu vichwani.
Mchaga keshakula pesa za watu huyo hana namna ataanzisha tena vagi maana pesa zitammalizaView attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.
Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
CHADEMA ya sasa haibenwi na mtuHuo ndio ukubwa.
Sema nguvu ya Umma imemfanya Lema awe mtiifu, bila hivyo alitaka kuwapanda watu vichwani.
Hihihiii wanchekaaa🤣"Migambo wanaruka na kukanyagana......!"
Ahahahahaha! Huu wimbo ulikuwa mzuri sana!
HahahaHuo ndio ukubwa.
Sema nguvu ya Umma imemfanya Lema awe mtiifu, bila hivyo alitaka kuwapanda watu vichwani.
Wahenga walisema "penye ufa jenga ukuta". Nawatakia kila heri katika kupambania mageuzi ya kweli kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa letu na dhidi ya mkoloni mweusi Chama Cha Mafisadi (CCM).View attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.
Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
Juzi mlisema kashalamba asali kesho mtasema nini?
hahaha Kirusi tunakijua sisi
Dah!Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Ni nani alie wakutanisha fisadi na msaliti?🐒View attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.
Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
Kwani da Mange wenu anasemaje?View attachment 3672843