technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,672
- 58,624
Ramli chonganishi ni haramu kama nyama ya nguruwe mkuu.Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.
Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report
Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Kwa lipi?Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.
Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report
Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
NYAMA ya nguruwe ni Tamu sana, haramu ni kwako wewe!!!Ramli chonganishi ni haramu kama nyama ya nguruwe mkuu.
shenzi zako unatumalizia bandoKabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.
Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report
Chadema lindeni Viongozi wenu kweli kweli!!
Tatizo mmekaririshwa na warabu eti nyama ya nguruwe haramuRamli chonganishi ni haramu kama nyama ya nguruwe mkuu.
Tahadhari ni muhimu kuchukuliwa.Kwa Upepo wa kiSiasa uliyopo, sio rahisi huyo kufanyiwa hayo sasa
Unajua Tanzania ime-make headlines juu ya huo uchafu unaoendelea
Kwahiyo sidhani kama wanaweza kuruhusu hayo yakafanyika wakati huu
Kazi za shetani ni uharibifu..Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.