PreGE2025 Heche: Hatuna imani na Jaji anayeendesha kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA

"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”

Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
 
JOHN HECHE AGEUKA MBOGO MAHAKAMANI KESI YAO KUHAIRISHWA, ATAKA JAJI AJIONDOE,

"MSIOGOPE"
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Mnyika hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA

Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
MAKAMU MWENYEKITI BARA JOHN MNYIKA HAHAHAAA JAMAA ULIKUWA NA HARAKA YA KUPOST UZI KUMBE UMECHEMSHA
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA

"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”

Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
Kiujumla ccm imezidiwa mbinu za kisiasa na chadema..
 
Dah! Sema Jamaa anajua kuongea na kuwasilisha hoja! Safi sana! Huyu ndio kiongozi tutunayemtaka!
 
Chadema inawindwa na Dola Ili iuliwe, wamembambika mwenyekiti wao lissu kesi ya mchongo
Na yule Mtungi, na yeye anafanya ya kwake!.

Kwa kweli Samia na Genge lake safari hii wamejifunua nyeti zote nje na kubaki utupu kila mtu aone!

Kilichobaki sasa, endapo wataendelea kwenye ujinga huu, ni kuumiza na kuwaua waTanzania; vinginevyo hawana njia za kubaki madarakani.
 
CCM washatepeta, sasa wameamua kutumia mahakama na sheria mbovu kujaribu kudhoofisha sauti ya umma.

Hilo nalo halitafika popote.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA

"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”

Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
Hawa ni nyumbu kweri kweri, na bangi ndio huongea.
 
Back
Top Bottom