PreGE2025 Heche: Hatuna imani na Jaji anayeendesha kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mifumo yenu ya utoaji haki haiko balanced, unakuta kada wa CCM anakuwa mtendaji mkuu wa vyombo vya dola, ama kada wa CCM anakuwa Jaji afu anapewa kusimamia kesi ya chama pinzani wa CCM.
 
Kesi yenyewe haipo unadhani watatokea mahakamani kufanya nini?

Nanyi mgeamua msihudhurie mnadhani nini kingetokea?

Kupotezeana muda tu.
 
Mifumo yenu ya utoaji haki haiko balanced, unakuta kada wa CCM anakuwa mtendaji mkuu wa vyombo vya dola, ama kada wa CCM anakuwa Jaji afu anapewa kusimamia kesi ya chama pinzani wa CCM.
Ni mambo ya aibu sn
 
Back
Top Bottom