Heche: CCM kinaiua CHADEMA!

Heche: CCM kinaiua CHADEMA!

Hivi watu wanaozungumzia na kuhamashisha juu ya vyama kuuana wanaijua vizuri nadharia ya demokrasia na siasa za vyama vingi? Je! Kwa vyama hasa vya upinzani kufa ; kunafaida kwa nani?
 
Wanaodhani CHADEMA itakufa sijui nani kawaroga...wanazidi kuipa umaarufu CHADEMA na kwa nguvu wanachadema tuko nayo tutapigania chama chetu hadi wanafki na maadui zetu waaibike.
NI MTANZANIA MPUMBAVU NA ASIYE NA UZALENDO ATAKAYETAKA CHADEMA IFE... CHADEMA inatakiwa iwepo na iendelee kuimarika zaidi ili kuifanya CCM itambue majukumu yake.... ila linapokuja swala la kutawala!!!! CHADEMA INABIDI WASUBIRI SAAAAAAAAAAAAAANA.. Bado hakina upako wa kutawala
 
Mkuu ni kweli lakini mimi nilichofanya ni ku-copy na ku-paste heading kama ilivyo katika gazeti lenyewe.

Nimalizie kwa kusema "mjumbe hauwawi"
Ngugu wana JF napenda kuwahakikishia kama mtanzania na mpenda mabadiliko,CHADEMA HAKIWEZI KUFA NA HAKITAKUFA KAMWE na KITASHIKA DOLA ,its just the matter of time...CHADEMA ni chama ambacho kipo MIOYONI MWA WATANZANIA WENYE UELEWA NA UCHUNGU NA NCHI yao...Leo hii siamini kama kuna mtu anaipenda CCM kwa dhati isipokuwa ana maslahi binafsi na utawala wa CCM yaani anafaidika moja kwa moja na ufisadi unaofanyika serikalini...Rasilimali za watanzania sasa hivi zinawanufaisha wachache,ama kwa ufupi kakundi kadogo ka mafisadi ambao wako tayari kuinza nchi kwa maslahi yao binafsi... wafanyakazi wengi serikalini ni wapenzi wakubwa wa CHADEMA japokuwa mfumo wa utawala unawabana na vijana wa mitaani wanaiona CHADEMA kama tumaini lao.Kinachotakiwa ni watanzania kujua kuwa ukombozi hauji kirahisi na si jambo la siku moja...ni mchakato.. ccm wajue kuwa harakati zao zote za kuwahusisha viongozi wakuu na mambo mabaya hazitazaa matunda badala yake kitawafanya watanzania waipende zaidi chadema kinachotakiwa ni viongozi wa chadema kutokata tama na kuendelea kuuanika uchafu wa ccm na serikali yake kwa watanzania...chadema kiwe tayari kuwaelezea watanzania fitina zinachofanyiwa na serikali kushirikiana na ccm...CHADEMA ITISHENI HARAMBEE TUKICHANGIE CHAMA KIENDELEZE MAPAMBANO NA PIA CCM WAJUE KUWA CHADEMA SIO YA MBOWE,ZITTO,DR.SLAA etc bali ni CHA WATANZANIA WOOOOOTE NA NI KIPENZI CHA WATANZANIA WOTE.... JITIHADA ZA KUWACHAFUA AKINA MBOWE,ZITTO,SLAA ETC HAZITAZAA MATUNDA YEYOTE.... KUMPIGA TEKE CHURA NI KUMUONGEZEA HATUA
 
poa kaka kwa kutujuza kicho kilichojiri kwenye gazeti la mtanzania J5,sisi wengine tupo pembezoni mwa nchi halitufikii gazeti.
 
Back
Top Bottom