Heche atafuta umaarufu msibani

Status
Not open for further replies.
Ni kawaida yao CDM .. je unakumbuka msiba wa mwangosi..?
 

Ukicheka na Kinana utavuna mizoga ya tembo.
 
..kwa kanumba jee..
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.

Kuna mwana siasa anayependa kutumia misiba, hasa ya wasanii hapa nchini zaidi ya muishiwa dhaifu ?
 
Haya majungu tu, mbona hakuna kilichoelezwa kuonesha alitafuta umaarufu? hata hivyo wa nn? Yule ni kiongozi wa kitaifa na ni maarufu zaidi ya uenyeviti wote wa vijana hapa nchini.Pia Heche amekuwa diwani Tarime mjini na ni mwanatarime, ni wajibu na haki yake ya msingi kushiriki shughuli za kijamii kama misiba mengine....! ACHENI MAJUNGU.
 
sasa hapo umaarufu aliotafuta uko wapi? mbona hujaonyesha sehemu hata moja alipotafuta umaarufu
 
Heche ni maarufu kabla ya msiba achene wivu wa kitoto munaacha kujadili jinsi mutakavyolipa deni nyie na watoto wenu na mimba zilizoko tumbuni la dola 11 bilioni ili kuwapa ujiko wachina huko bagamoyo tayari mumeshawapa makaa ya mawe bure yenye cobalt,platinum,nickel,shaba,silver na dhahabu ndani yake mpuuzi wewe mleta mada
 
watu bwana umetumia muda mwingi kueleza ujinga hapo acha siasa za namna hii tafta mbinu nyingine jamani kwani akitafta umaarufu tatizo liko wapi?
 
Mleta mada unaonekana una hofu na Heche. Maelezo yako ni kuwa Heche hakuongea kitu, labda ungetuambia Heche kuhudhuria msiba ni kutafuta umaarufu maana tumeishazoea kuona viongozi wetu wengi wanaenda misibanni kupiga picha na kuzijaza Michuzi Blog
 

Hebu na wewe tuambie Mke wa Kolimba yuko wapi na anakula nini leo hii....nyumba yake tu iko hivi

 
HECHE na waitara wote wapo makao makuu ya chadema, ni vizuri wakajadili kwa mapana juu ya majungu haya, yasije yakakigarimu chama!
 
Heche ni kiongozi maarufu Tanzania, sasa Tarime alikozaliwa na kukulia; na alikopata kuwa diwani atashindwaje kuwa maarufu hadi aanze kuutafuta huo umaarufu msibani?

Katika wenyeviti wa jumuiya na mabaraza ya vijana katika vyama vya siasa vilivyopo nchini kwa sasa hakuna mwenyekiti maarufu kama Heche.

Huyo mwenyekiti wa mtaa ametuhumiwa na wananchi wake kwamba alipokea rushwa toka polisi ili awashawishi wazazi wa marehemu wakubali kumzika mtoto wao baada ya kugoma kufanya hivyo awali. Sasa hayo mengine anayodaiwa kuyazungumza ni non issues kwa muktadha huu.
 

Mura chuki haziendi hivo mimi we kubali unachuki binafsi na John heche yaani.umeiandika kimbea kabisa pole sana hutofanikiwa.
 
Inashangaza kuona mwenyekiti wa mtaa wa chadema kuwa karibu na mkuu wa wilaya kwa mapenzi ya ghafla tu, wewe mwenyekiti Khamis unaonekana ni gamba nashauri chadema wakuchunguze.
 

heche hana lolote,hajui siasa analazimisha siasa.Huwa anaongea kwa nguvu kama anataka kupaa,ovyo kabisa
 

Akili ziszo na mashiko nyie wote mnaomzushia mwenyekiti kuwa kahongwa toeni udhibitisho wa dhahiri amepokea vipi na mkuu wa wilaya amemlipia mkopo kwa ajiri ya nini?na je ni sheria katka nchi hii inasema ukiuwawa ukazikwa utakoswa haki zako?na haki hizo ni zipi?wameuwawa raia wanne arusha hawakuzikwa?mwangosi hakuzikwa?na je baada ya kuzikwa kesi za mauwaji zilifutwa?mi nafikiri uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kulko,badala ya kujipanga mwone mtatoka vipi na wegesa wenu mmebaki kutoa vimatusi vya kitoto kuwa mwenyekiti kahongwa,watu walishachoka na matamko ya heche,alishatoa matamko nyamongo kwamba atapambana hadi haki za waliouwawa mgodini zinapatkana hadi leo haijulikani alifkia wapi.
Kama heche angekuja kama mwanasheria wa chama akitaka kujuwa mazingira ya kifo yako vipi na muuwaji anastahiri adhabu ipi kwa mjibu wa sheria?hapo angenyimwa ushirikiano angepata hoja ya kusema,yeye heche mbona alipata tuhuma kuwa alikura fedha za michango ya shule ya nyamisangura akiwa diwani?jumla ya sh.13 milioni zilichangwa alizofikisha ni sh.milioni 4 tu yeye atasemaje kuhusu hilo?na kuna watu wanathibitisha hilo hadi leo.Leo kwa mfano mtu angeenda bank kuthibitisha kama kweli khamis amefutiwa mkopo?je nani aliona khamisi akipewa rushwa ya m.2.5?msifanye siasa za maji taaka na kama mlisoma basi hakuna haja ya kwenda chuo kikuu kwani kama una dgrii na huna uelewa ni bora na asiyekuwa na elimu na akawa mwelewa.
 

Umaarufu unazidiana Waitara inaonekana wana Tarime wanamkubali sana Waitara; kama sio kutafuta sifa misibani kilimpeleka nini Tarime? Umaarufu wa Heche ni kule kuwa kibaraka; hebu tueleze ana umaarufu gani tusioujua sisi wengine? Mkuu unatafuta sana kukubalika pale mtaa wa Togo ndio maana unakesha kusifia matapishi


Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.

Hauna jipya..kila ukisikia kesi ya Mwangosi unarudia maneno hayo hayo.....ukweli lazima usemwe, chama cha majangiri kitaijua ICC mnafanya mchezo na roho za wananchi kwa kuwatuma polisiccm...soon mtajua CHADEMA haina utani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…