Heche ameondoka na BAVICHA?

Hii ni hatari, hii inanpelekea kutaka kuamini thread moja ililetwa hapa na mpinzani mmojawapo kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa chama kwamba ni shushu wa ccm na alifadhiliwa na Dialo..

Ni kwel...ukimya wa mwenyekiti unatia ukakasi...makamu mwenyekiti sina shaka nae...
 
Patrobas siasa hazifanywi uvunguni!!!
 

huyu ni muajiriwa wa mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa mwanza katika kampuni ya sahara media kama mwanasheria, Chadema mnaishi kwa ruzuku tu,mnafikiri yeye mjinga aache ajira yake aje afanye kazi za chadema?mnajua mtumishi anatakiwa akae ofisini masaa mangapi? na ili atoke nje ya kituo cha kazi aende kwenye mikutano ya hadhara lazima apate ruhusa ya mwajiri wake ambae ni mwenyekiti wa ccm. Na hata mkimuhitaji mjue atapata likizo ya siku 28 kwa mwaka,kwa hiyo ndani ya mwaka mtampata kwa siku ishirini na nane. Msitarajie mwenyekiti wa ccm wa mkoa atampa ruhusa za mara kwa mara akafanye kazi za chadema zenye lengo la kuiua ccm
 
Patrobass yupo na juzi alikuwa Arusha kwenye mikutano, sasa c kila alichofanya mtangulizi wako na ww ufuate, mbinu ni tofauti.

Kwani mbinu za Lowasa akiwa PM na pinda zinafanana?

yawezekana yy si mtu wa media!
 
vijana wanatakiwa kuwa active mda wrote.huyu Mkiti mmmmmmmmmm.upendo angefaa sana
 

Huu sasa upuuzi,kwanini walimchagua sasa?Hivi viongozi wa juu wa CHADEMA hawakulijua hili?
 
Patrobass yupo na juzi alikuwa Arusha kwenye mikutano, sasa c kila alichofanya mtangulizi wako na ww ufuate, mbinu ni tofauti.

Kwani mbinu za Lowasa akiwa PM na pinda zinafanana?

yawezekana yy si mtu wa media!
Can't you see the coldness in BAVICHA political movements now?This isn't healthy for the party's prosperity
 

Mwizi anafukuzwa kimya kimya
 

Kama aliyajua hayo aligombea ya nini? Huko nyuma uliletwa uzi kama huu, nakumbuka nililalamika sana kuhusu hawa vijana mnaowapa madaraka wakati wanashinda maofisini kwenye malaptop sijui matwiter, mafacebook na sijui miwhatsapp. Hiki chama hapa kilipofikia ni kutokana na amshaamsha iliyoendeshwa nchi nzima mara baada ya uchaguiz wa mwaka 2010 na kumi. Kulikuwa na operesheni nyingi sana nchi nzima, kwa kiasi kikubwa operation hizi zimezaa matunda kwa watu kukipenda chama na kwenye uchaguzi huu wa serekali za mitaa majibu tumeyaona.

Leo hii mnampa kijana madaraka anaishia kukaa ofisini, hatuoni hamasa. Kwahiyo hamasa mnangoja iletwe na wazee kama akina Slaa!? Tunaomba cdm watambue kwamba sisi wengi sio wanachama wao bali ni washabiki, kwahiyo kama hamna amshaamsha hatutakuwa na muda kuwafagilia kwani tunaona tutawapa madaraka mtuletee mambo yaleyale ya kiccm, mtu akipewa madaraka hataki hata kuja kuonana na wanachi anashinda ofisini sijui anafanya maresearch kwa google huko ofisini. Hatuna muda wa kuremba sisi na hao macheckbob mnaowapa madaraka. Tunataka majembe ya kazi, au unadhani tutawapa nchi wakati mnawapa madaraka watoto wa mama? Tunataka kijana akipewa madaraka anaingia front anasambaza elimu ya uraia na kuongeza wapiga kura zaidi sio anabweteka ofisini kujifanya msomi wakati hatuoni input yake.

Watu wamebaki wanamponda Lema hapa sijui hana elimu sijui nini. Lakini nenda Arusha, akiitisha mkutano nyomi ya wapiga kura. Wakati wa uchaguzi wa marudio ya udiwani hakwenda bungeni bali alisimama bega kwa bega kutetea viti vyote vikapatikana. Wakati wa uchaguzi wa serekali za mitaa alikuwa anapita mitaani kuhasisha watu na mikutano mingi alikuwepo. Majibu yake tumeyaona cdm toka asilimia sijua tano 2009 ya viti leo wako almost 50/50 na ccm. Hayo yote kafanikiwa kwa kwenda kwa watu na kuwahamasisha, au mnadhani yeye hajui hayo mafebook? ama hana ofisi? Nyie mwacheni tu huyo kijana apake perfume na kuvaa macheni hapo ofisini muone kama mtamuona mpiga kura yoyote. Mnafanya utani nyie, ndio hao wasomi kila siku tunaambiwa wajiunge cdm?
 
Patrobass yupo na juzi alikuwa Arusha kwenye mikutano, sasa c kila alichofanya mtangulizi wako na ww ufuate, mbinu ni tofauti.

Kwani mbinu za Lowasa akiwa PM na pinda zinafanana?

yawezekana yy si mtu wa media!

Naheshimu uhuru wako wa maoni, ila naomba usifananishe wazee na vijana tena unawafananisha na wazee wapiga deal na wachovu wa kujenga hoja.
 

una chuki binafsi na patrobas
 

Ndugu yangu nami nimeliona hilo, kiatu cha Heche kimempwaya Patobas? Ngoja tuone labda uzoefu.
 
Patrobas aingie hapa kwa verified name yake hapo ataeleweka

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…