Heche ameondoka na BAVICHA?

Umeandika nini sasa, si ungelala, unapoteza muda na maneno haya ambayo hata wewe yanakushuhudia upu mbavu

Pole sana kwa ubaridi ulioupata kwa kutomwona huyo kiongozi. Nadhani atukusikia atakushughulikia hadi ujisikie joto!
 
kuna story ziliwahi kuvuma kuwa ni pandikizi wa mzee wa jina la kiaivory cost.. d..i.a..l.o
ngoja tuone...
 
intelligensia ya chama inafanya kazi gani?...taarifa hii tuliiona hapa kipindi cha kampeni, hii ni hatari sana..

kuna story ziliwahi kuvuma kuwa ni pandikizi wa mzee wa jina la kiaivory cost.. d..i.a..l.o
ngoja tuone...
 
Kama kweli ni kijana wako, ni vyema basi utusaidie kupata majibu ya maswali uliyouliza. Sasa nyiny wa karibu naye mtuulizapo sisi wa mbali naye ndo majibu yatapatikana vipi?
 
bahati mbaya sina namba yake, nitamtafta skype au fb, nikimpa nitashare nae. Lakini hapa ni mahali pazuri, hii ni public media na wanaoandika au kusoma hapa juu yake ndio wafuasi wa chama,ni vema akaja kusema nini tatzo lake hasa

Kama kweli ni kijana wako, ni vyema basi utusaidie kupata majibu ya maswali uliyouliza. Sasa nyiny wa karibu naye mtuulizapo sisi wa mbali naye ndo majibu yatapatikana vipi?
 
Mjadara umetulia kama Kweli tunataka kujenga,nikweli hata mimi nimekuwa nikijiuliza maswli hayo mpaka kumkumbuka John Heche.Labda huyu bwana ana plan nyingine anayoijua itamsaidia kujenga chama ila anapaswa kujua Chama ni barabarani na majukwaani,tulitegemea ufanisi zaidi kwa sababu alijifunza mengi toka kwa mtangulizi wake!.Natamani nafasi hiyo angekuwepo mtu kama Salumu Mwalimu mwingine
 
Ofcoz Patrobas hasikiki;makeke hatuyaoni na ile amsha amsha hatuioni hata ya kuzunguka nje ya nchi akifanya mikutano;mada ni nzuri tujadili bila kuvurugana
 
huyu jamaa kweli ukimya umezidi,naona ukimya wa bavicha umezidi mno
 
Bavicha imepoa kuliko hata bawacha! Inawezekana bavicha ameondoka nayo heche!
 
Ilaa kwelii..Naona vyema akaanza harakati mapema ili tusiomjua tumjue ..tumpe sapoti kama vijana...
 
nakushukuru mtoa mada kwa kulitumia vizur jukwaa,hii ni sehemu ya kuelimishana,kukumbushana, kukosoana nk, nadhan kama kijana atazipata hz taarifa na kuzifanyia kazi.
 
Ulitaka aitishe maandamano ndipo umpime utendaji kazi wake
 
Tutamkumbuka Saanane,Mwanamikakati mzuri sana. Wengi wanasema hana mvuto jukwaani,well hatutafuti wasanii waigizaji hapa,tunafuta viongozi wajao.Beni Saanane angekwisha_lay out mikakati ya kukiimarisha chama miongoni mwa vijana.Huyu Patrobas bado yupo kwenye honeymoon ya kushinda uchaguzi nahisi,ikija kumalizika na uchaguzi huu hapa!!!??
 
Ukimya huu wa mwenyekiti BAVICHA ulinishangaza sana mpaka nikaulizia kwenye jukwaa hili kwa nini ukimya huu.Kuna baadhi ya wadau hapa walisema kuna kitu kikubwa kinaandaliwa na kitakuja.Mwaka mpya umeingia sijaona chochote!
UKIMYA WA BAVICHA
 
Ni kwel...ukimya wa mwenyekiti unatia ukakasi...makamu mwenyekiti sina shaka nae...
 
There you are, kuna watu wanajituma sana, Alphonce Mawazo, Vicent Nyerere,Nasari,Sugu hadi Madiwani wanafanya mikutano mikubwa na kuamsha molali kwa vijana,mbona menyekiti hafanyi makubwa zaidi yeye kama kiongozi? There must be a problem in between..

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…