Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
View: https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0
Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa kumuheshimu mama aliyewaletea maji safi. Amesema pia ana ushahidi wa video jinsi walivyochkuliwa na polisi na kwenda kutupwa Mkuranga
Felix Festo Kilimi katibu muenezi BAVICHA Taifa anasema siku ya Tarehe mbili walipohudhuria kesi ya Lissu alikuja polisi na wakati anawashambulia kuwa Walikuwa wakitupiga wakisema wanapata 'credit' kwa Rais Samia wakifanya hivyo.